kaka yangu amemaliza kidato cha nne, umri wa miaka 27 ni fundi mekanika amefanya mitihani ya VETA Motorvehicle mechanics grade two, na autodriving grade two also.Anaishi mkoani kilimanjaro na anaweza kwenda mkoa wowote kulingana na makubaliano na mwajiri wake.