kaka yangu amemaliza kidato cha nne, umri wa miaka 27 ni fundi mekanika amefanya mitihani ya VETA Motorvehicle mechanics grade two, na autodriving grade two also.Anaishi mkoani kilimanjaro na anaweza kwenda mkoa wowote kulingana na makubaliano na mwajiri wake.
Dah! kachelewa kidogo coz TANESCO walikua wametangaza nafasi nyingi zikiwepo hizo za Mechanics -VETA. na mwisho wa kutuma maombi ilikua jana j5. ila tupo pa1 kama zikitokea nafasi nyingine tutaambiana.
Asomee udereva wa kuendesha viongozi Chuo Cha Usafirishaji ama VETA ili ajiweke vyema katika kupata nafasi za ajira ukizingatia ni fundi. Hujasema kama anauzoefu na fani hiyo wa muda gani ama ni fresh from school.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.