Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hii avatar ya huyu mtu inakiuka maadili. Ngoja ni do the needful.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii avatar ya huyu mtu inakiuka maadili. Ngoja ni do the needful.
Huyo bila ubishi alikuwa anafanya matusi.ha ha ha hommie yaani hi avatar ni inaleta maswali mengi kuliko majibu!! sijuii huyo anaruka kamba?
Hii avatar ya huyu mtu inakiuka maadili. Ngoja ni do the needful.
hahaa Chrispo unamambo ... halafu jamaa kakosa place ya kufanya matusi and decided to go public ... hakuna polise humu JF...?Huyo bila ubishi alikuwa anafanya matusi.
Namwanaume je?Mwanamke asiachwe, isipokuwa kwa uasherati!!
Namwanaume je?
nimejiuliza sana...hapo alikuwa anaruka kamba, anacheza ngoma au alikuwa anafanya nini?
Oww Ic... kwahiyo mwanaume haachwi hata kama amefanya hiyo kitu?maandiko hayaja msema mwanaume!!!
kwahiyo maandiko yanajustify uasherati kwa wanume?maandiko hayaja msema mwanaume!!!
Hii ni aibu kubwa sana. Kitendo cha huyo shem wako kuzini na HB mpaka anashika mimba ni kosa kubwa sana mbele ya jamii na mbele ya Mungu pia. Lakini pia inaonyesha huyu mama hakuwa na mapenzi na mumewe na amekuwa alifanya hili tendo kwa muda mrefu na kunogewa, ndio maana hata akathubutu kukubali na kuthibitisha kwamba ujauzito ni wa HB, kwa maana nyingine ni kwamba amejiandaa kwa lolote. It is sad...
Ngoja niingie kwenye maombi ili roho wa Mungu aniongoze katika hili... will be back...
umefika mbali sana mpendwa. kwa nini unamzuia memba mwenzako asikuquote na wewe unajizuia kumquote? nafikiri humtendei haki. hii ni forum ya wote na sioni sababu ya estrictions. jitahidi kuvumilia mawazo ya wenzako, otherwize naamini utapata shida sna kwani kuacha kukuquote, naamini hataacha. labda wewe uache na ama ujitoe JF!
pia unleta contradictions kuwa hukuja kutengeneza marafiki wala maadui. so napata shida kama ujumbe wako huu wa hii post una lengo gani? nafikiri unaweza kujenga uadui kati yako na mlendwa AK. ni ushauri tu
Wenzangu hii kesi ingekuwa ni mke amekwenda biashara kamwacha mume wake na housegal
kwa muda kisha yule housegal mwisho wake akapata mimba ya yule bwana tungekuwa
tunamlaumu nani? Si yule bibi kwa kumwacha bwana akiwa na njaa halafu anamwachia
chakula pale karibu aki expect yule bwana hata onja? Sisi binadamu mili ikishazoea haya mambo
tukikosa ni rahisi tuende kwa source iliyo karibu.Pole but this is the harsh reality.Wengi sana
wanafanya hivi ila sio wnegi wanaokiri dhambi zao.
Infact huyu mama ni mtu mkweli na anasikia aibu ya aliyo yafanya tena anaona amepoteza njia
inayofaa.Kuna reporti iliyo tokea juzi ati 61% of children being raised are not from their father.Kwa
hivyo alipoteleza huyu mama nikuconfess otherwise wengi sana wanazaa na wanaume wainje.
Huyu bwana alifanya makosa kuandika houseboy kama alfahamu huwa ankwenda away on
business.Hii ni kumwingiza mkewe kwa majaribu.