Habari wana JF. Naombeni anayejua wanunuzi wa kuku wa nyama (broiler chickens) wanaonunua kiasi kikubwa kama kuku 1000 kwa wiki anijulishe tafadhali. Nafugia Kibaha kwa Matias. Asanteni sana.
Kama kuku wako wanauzito mzuri,,kuanzia 1.4Kg check me now 0717332652