Broiler chickens

Broiler chickens

Mikongeni

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Habari wana JF. Naombeni anayejua wanunuzi wa kuku wa nyama (broiler chickens) wanaonunua kiasi kikubwa kama kuku 1000 kwa wiki anijulishe tafadhali. Nafugia Kibaha kwa Matias. Asanteni sana.
 
Naomba ujibu maswali kadhaa;-

1. Kuku wako wanakuwa na uzito gani siku ya 35?
2. Vifaranga wako ni wa kutoka wapi?
3. Unawalisha chakula gani na cha kampuni gani?
4. Kuku 1000 wanakula mifugo mingapi mpaka siku ya 35 au mwisho wa week ya tano?
5. Je kuna virutubisho vyovyote unavyowapa kuku ili kuongeza uzito?
6. Bei yako ikoje?
 
Habari wana JF. Naombeni anayejua wanunuzi wa kuku wa nyama (broiler chickens) wanaonunua kiasi kikubwa kama kuku 1000 kwa wiki anijulishe tafadhali. Nafugia Kibaha kwa Matias. Asanteni sana.

Kama kuku wako wanauzito mzuri,,kuanzia 1.4Kg check me now 0717332652
 
mwambie atke mafchon mbna ajbu wateja wake
 
Back
Top Bottom