Broke Kenya turns to donors for $1.22B to support it's war against Corona

Hata matajiri huwa broke. Unaweza kuwa na majumba mengi tu na magari mengi tu ila ukakosa cash. Hivyo unaweza kopa pesa kwa benki ili upate cash ya haraka. Unaweza kosa cash mfukoni lakini hio haina maana kuwa wewe ni masikini. Kuuza gari au shamba inachukua miezi hata miaka. Masikini akisema ako broke ina maana kuwa hana lolote ila tajiri akisema ako broke hiyo ina maana tofauti sana
joto la jiwe
 
Heri huo mzigo wa madeni kuliko collapsed economy,I support what government is doing to caution our economy ,at the moment no tourism,no exportation most of the sectors have shut down and the only thing government can do is to try and sustain those sectors,.
Hahahaha, unasifia kuongeza mzigo wa madeni na kuongeza mzigo wa kodi kwa wananchi ambao tayari wameelemewa na madeni kwamba ni jambo la kushujaa kulifanya mapema?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Kenya ni moja, hamuwezi kujisogeza hata hatua moja, yaani from day one ninyi mnahitaji msaada, huo uchumi wenu mkubwa upo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mjue sasa umuhimu wa kuwa na "real active GDP" na "fake theoretical GDP"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
'Fake theoretical Gdp' ina maana kuwa world bank ni wajinga sana ila wewe ni genius hata kushinda Einstein
 
Tatizo la kukopa Sana halijaanza leo, IMF imekua ikiwapigia kelele mara kwa mara kutokana na hilo tatizo, inamaana uchumi wenu unategemea kukopa bila kukopa uchumi wenu unacollape?.

Sasa kwa taarifa yako, ulipaji wa madeni ndio chanzo cha uchumi kusambaratika, kama hii pesa mtakayotumia kupambana na Corona, hii ni " recurrent expenditure", sasa kama mnakopa kwa ajili ya matumizi ya kawaida sio "investment" unategemea kurudishaje kama sio kuongeza mzigo ktk uchumi wenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo una sifa za kijinga kama uvccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…