Broken Heart - Breaking Up

Entrepreneur

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
1,087
Reaction score
622
When you've just gone through a breakup, there's a period of adjustment... especially if you've spent great amounts of time with that departed partner. How many of you have experienced this? And.... what things did you do to counteract the feeling of loneliness? What suggestions do you have for those going through this difficult time?
 
We mjasiriamali omba mods wapeleke hii thread mmu. Mchango wangu utaukuta kule.
 
depends bwana na mtu....for me lazima niduu na wanawake kama 3 ndio niget over it.....so suggest u should try it. thos is dnt recommend that women sleep around with men maana utapata bad reputation...its a man's world!!!
 
just hung your legs
it will get better...
 
Hata na mimi ningependa kupata darasa, nawasubiri waje wajuzi wa mambo.
 
Reactions: Mbu

....hey,

Grieving period ni muhimu, lakini usi exaggerate mpaka ukasahau kula, kulala, kwenda kazini
kuendelea kuvaa vizuri
na kujipenda kisa umeachwa! ...KUMBUKA blessings nyingine ulizojaaliwa...

....kumbuka, sio dhambi wala aibu hivyo unavyojisikia, dhambi na aibu ni jinsi utavyo react negatively!
chunga mdomo wako na unachosema kuhusu mwenzako,....kuachana sio uadui, lakini using'ang'anie urafiki naye!

Wenzako tulishapitia huko, na maisha yanaendelea...


"Some people come into our lives and quickly go. Some stay for awhile and leave footprints on our hearts. And we are never, ever the same."


...acha/punguza mawasiliano na ex, otherwise you'll never move on! ...acha kurudisha fikra na kumbukumbu, au mazoea ya vitu, mambo na sehemu mlizozoea kuwa pamoja...

...acha kujipa mawazo ya labda atakurudia au labda ni kosa lako! it was meant to be like that, kubali matokeo....

...jipe moyo utayavuka majaribu haya. Japo ngumu kusahau mazoea lakini
kuna mengi mazuri yanakusubiria,...kubali matokeo!
jipe moyo!

Some people come into our lives as blessings, others come into our lives as lessons.
 
...Pole sana soma ushauri wa Mkuu Mbu utakusaidia sana katika kukivuka kipindi hiki kigumu kwako.
 
Reactions: Mbu
...Pole sana soma ushauri wa Mkuu Mbu utakusaidia sana katika kukivuka kipindi hiki kigumu kwako.

...lol...kaka hebu nawe ongezea bana..

haya mambo kila mtu na experiences zake,...yakikukuta utajiona ushapoteza thamani ya vitu vyote duniani,
lakini ukijikubalisha na ukweli, kisha ukashukuru mw'mungu na maisha yakaendelea...aaa, hakuna liwazo kama hilo.

Hapa mbu baada ya misukosuko yote ya nyuma, roho yangu nyeupeeee...nishamsamehe na kumsamehe 'mwalimu' wangu wa mapenzi, tena namuombea heri hasa huko aliko...maana kiukweli nitaumia nikisikia anateseka!

I didn't deserve her, nor was she to me!....kila nikiuangalia mwaka 2011 na kumbukumbu zake, wallahi Mw'Mungu ni mwema. Kama ushawahi sikia msemo "baada ya dhiki faraja,!" ndio hali niliyopitia mimi.... JF kuna 'Guardian Angels' humu, ...God bless you all!!!

 



Najihisi faraja sana moyoni baaada ya kusoma haya mawazo ya huyu member....., kudos for this....!
 
Reactions: Mbu
Mchango wa Mbu unahusu; kuomgezea tafuta au kumbukuka vitu ulivyokuwa unapenda/kutamani kufanya (kama passion) ukawa unakosa muda kwa ajili ya kuwa naye, viamshe na uzibe pengo la idle time.

Jipende mwenyewe na usijilaumu kabisa; hata kumlaumu yeye haisaidii sana; better ona it is for the good of both of u!

Kujichanganya na marafiki ni therapy nzuri sana; na mwisho a minute or two with ur God; sharing with him how u feel will do miracles.

Wish u a quick recovery!
 

mbu una maexperience
 

..50/50 na marafiki...maana kuna marafiki 'ndugu' wataokusaidia kuomboleza, na kuna marafiki 'wanafiki ' ambao wao raha yao ni kukumbushia machungu ya ex wako ka update nini kwenye profile yake, kaonekana na nani, kapendezaje nk nk almuradi akili yako ibakie ukiyumba yumba labda hukufanya maamuzi sahihi..

...kwenye ibada, hapo aminia 75%....kabla ya kulala, ukiamka au wakati wowote ukiwaunajiskia udhaifu...mkabidhi kilio chako maanani akuongoze kwenye nuru,....[epuka kumuombea mabaya ex wako!...dua zako hazitakubaliwa!]

Dont over do it kiasi cha watu waanze kukuonea huruma na kujiuliza umeokokaje mpaka umejiunga na kwaya ya kanisa, au kwanini unalala msikitini!
 

You know what Soulmate?................I always ask myself what would I do, how would I cope without your wisdom.
I count myself blessed to be closer to you!

Kama si wewe JF, ningekuwa doomed mie

Mtoa mada kusema kweli it is not easy. Kama alivyosema Mbu inakubidi kujipanga haswaa! Mimi ilinichukua muda mpaka kufikie uamuzi wa LIFE HAS TO GO ON WITHOUT HIM. Thanx to JF members who have been very supportive on this! I just feel strong to myself kuwa siku hizi ninawezakuta missed call zake na nisibother kumcall back! kuwa anawezakuja kwangu getini na kumwona mwanae without me kuchungulia kwenye dirisha ah! ninajisifu nimepiga hatua kubwa sana aisee! hadi mwenyewe anashangaa!!
 



....Mhhhhh! MJ1 πŸ™‚πŸ™‚.....BAK loves this πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…