....hey,
Grieving period ni muhimu, lakini usi exaggerate mpaka ukasahau kula, kulala, kwenda kazini
kuendelea kuvaa vizuri na kujipenda kisa umeachwa! ...KUMBUKA blessings nyingine ulizojaaliwa...
....kumbuka, sio dhambi wala aibu hivyo unavyojisikia, dhambi na aibu ni jinsi utavyo react negatively!
chunga mdomo wako na unachosema kuhusu mwenzako,....kuachana sio uadui, lakini using'ang'anie urafiki naye!
Wenzako tulishapitia huko, na maisha yanaendelea...
"Some people come into our lives and quickly go. Some stay for awhile and leave footprints on our hearts. And we are never, ever the same."
...acha/punguza mawasiliano na ex, otherwise you'll never move on! ...acha kurudisha fikra na kumbukumbu, au mazoea ya vitu, mambo na sehemu mlizozoea kuwa pamoja...
...acha kujipa mawazo ya labda atakurudia au labda ni kosa lako! it was meant to be like that, kubali matokeo....
...jipe moyo utayavuka majaribu haya. Japo ngumu kusahau mazoea lakini
kuna mengi mazuri yanakusubiria,...kubali matokeo!
jipe moyo!
Some people come into our lives as blessings, others come into our lives as lessons.