Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

Kwema mkuu?
Kuna myu anahitaji mtaji anafanya biashara ya karanga na vitu vidogo vidogo kando ya kituo cha daladala.

Anahitaji Tshs laki 2 tu ili akuze biashara yake.

Yeye binafsi aliniambia ana tatizo la kuanguka hivyo asingeweza kufanya kazi flan ambayo nilitaka nimuunganishe ili hata mwisho wa mwezi impe 120k ya mtaji.

Bado anaishi nyumbani kwao, ana mke tayari.

Kama ungependa nikuunganishe nae mjadiliane

Yupo Dar
 
DPP Anajichukulia Points 3 Nyumbani Na Ugenini
 
Mh ilkuaje hiyo kaka,?
 
mkuu sio vijana hadi wapo ndugu watu wazima saivi hawaminiki kwa kifupi ukipata ela usi mwamini mtu yoyote utanishukulu baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…