Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

samia hamuwezi kumfanya chochote maana amewapa mnachotaka...

hapa unajaribu kutafuta uaminifu tu...

ila wewe ni moja kati ya wezi wanaosumbua nchi hii.
 
Wakuu tumeshapigwa.....Hahaha
 
Na mimi naliona hilo kwahiyo tukubali pia hili taifa halina watu wazalendo kila mtu yuko kimaslahi tu. Hongera kwa HHP angalau ameonyesha anatamani maslahi mapana ya taifa yatendeke
huyu ukimchunguza tangu mwanzo, utakuta alikua anatabiri vifo vya maadui wa mtandao tu...

na ukiona tabiri zake hapa, ujue wameshamaliza kazi...

kwa samia hawana sababu ya kumwondoa, maana amewahakikishia maslahi yao...

jambo ambalo ndio lengo lao namba moja la kumwondoa magufuli...

anachokifanya sasa hivi ni kutaka watu waamini yupo kwa maslahi ya taifa...
 
Umetumia akili! Nami naunga mkono hoja!
 
Brother mbona amekawia kufika, bado tu? Mambo yanazidi kwenda kusiko mbele Giza totoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…