Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Hapo kwa namba nne nakataa. Nchi hii sio mali ya wasomi peke yenu, hata sisi tusiosoma tunayo haki ya kuwa viongozi wa nchi.

BTW nyie wasomi mmekubuhu kwa wizi na ukwapuzi wa mali za umma, mafisadi sana nyie wasomi.

Mengine sawa
 
Hicho kipengele Cha 28 na 29 Ni Cha hovyo, wewe itakuwa sio mkulima Wala mtumishi wa umma, hujui mikopo ilivyowakomboa watumishi, zamani watumishi walikuwa wanajemga baada ya kustaafu, lakini baada ya mikopo hadi magari wanayo

Nchi nyingi zinataka mazao ghafi mfano parachichi na kokoa, ukiziprocess utakula mwenyewe na bei ya bure, hujuma kwa wakulima, Lima mazao yako ndio ugawe bure
 
Back
Top Bottom