Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Katika majira haya yenye kelele zisizo na ala, tunalazimika kunyoosha antenna zetu kupokea kile ambacho hakijasemwa wazi. Japo mitetemo ya chini ya ardhi haionekani kwa macho ya kawaida, waliofunzwa kusoma hewa tayari wameshaweka dots kwenye ramani ya mwelekeo.

Kwa muda mrefu, baadhi ya wahudumu wa mwanga bandia wamekuwa wakicheza michezo ya kivuli, wakijivika kanzu za rohoni huku wakitekeleza protokali za kitengo kisicho rasmi. Wanajifanya manabii, kumbe ni ma-agent wa mpango unaofadhiliwa nje ya perimeter ya Taifa.

Katika lugha ya operesheni, wamekuwa wakipiga soft codes kuhusu “mwisho wa mpango”, wakitumia maneno ya kiroho kufunika intel drops za ajenda ya kupindua msitari wa amri kuu. Kaburi halijachimbwa, lakini wao tayari wana orodha ya wasomaji wa hitma.

Operesheni yao iliitwa “Dark Days”. Ilijikita kwenye principle ya target destabilization. Malengo yakiwa ni mmoja, lakini njia walizochagua zilikuwa za kuteremka giza kwa kutumia taa za bandia. Kwa bahati mbaya kwao, mlengwa aliingia kwenye secured zone kabla ya trigger sequence kutimia.

Taarifa za deep comms kutoka kwenye mitaa ya kimya zimeshatambua walengwa na walengaji. Aliyevaa kivuli cha username sasa ana sura kamili kwenye mfumo wa face recognition. Hawa si wapambanaji wa haki, bali ni watoa taarifa bandia kwa bei ya kiapo cha hila.

Harakati za kutabiri “mabalaa ya uchaguzi mkuu” zilikuwa sehemu ya psyop campaign. Wengine waliingiza jina la mpita njia maarufu kwenye skripti ya mwelekeo wa bendera, lakini kwenye meza ya war room, script yao ilishakataliwa.

Wamesahau kuwa baadhi ya maombi ni silaha za kimya. And those who pray in encrypted tongues have already activated firewall ya taifa. Vazi lao la uaminifu sasa limechanwa, na mfumo wa kufuatilia miendo yao uko kwenye live monitoring.

Kwa sasa, watendaji wa kazi ya chini ya ardhi wameingia phase two: neutralization ya propaganda, kufuta metadata ya hila, na kuzuia access ya red zone kwa wale waliopoteza malengo.

Kwa kifupi, kifaa cha kufukua kaburi kimefungiwa. Wale waliotumwa kwa giza sasa wamelazimika kutafuta nuru bandia ya kukimbilia. And just as it’s said in the field: He who operates at dawn will face dusk before his time.
"Hebu pitia hiyo post ya infiltrator"
Means mpango wao umezikwa rasmi?
 
"The state na st.peters ni taasisi tofauti,the state tangu kuanzishwa kwake imekua loyal Kwa taifa pekee japo Ipo well trained kujua capacity yake kikatiba"

"Pale st.peters Kuna wale conservative ambao huwalinda wakubwa na wanataka mambo yabaki hivi hivi,watakaushwa kimyakimya na baada ya muda hawatokuwepo"By Tumia akili.

"Kuhusu Diwani na hayati chuma wapo wanne ambao hata yeye hawajui na wapo nje ya nchi na hawaripoti kwake"de'levis!

"The onion has many layers" de'levis"

"JAL 1 is done 2 and 3 are next"kuhusu mtaafu kustafishwa tayari mmoja wawili wanafuata!!

Nimejaribu ku quote baadhi ya maandishi humu kukuonyesha the state ni taasisi kubwa kuliko st.peters ambayo ndio tumaini la kulinda wakubwa na ego zao,na ndio taasisi ambayo wakubwa was hapa wanajivunia lakini the state is beyond them,ndio maana Kuna wanne wapo nje ya nchi Wala hawaripoti Kwa mkurugenzi wao Wala kwa namba moja na hatujui wanaripoti wapi!!Kwa mujibu wa de'levis!!

Halafu delevis anaandika IPO sequence ya matukio kuhusu RIPs za wakubwa ambazo sio natural kuanzia Kwa Mzee mchonga Hadi Kwa lodilofa Hadi Kwa hayati chuma!!

Kifupi ni kwamba!ukiwa tagert ya wale jamaa huchomoi ndio maana mwandishi was Uzi huu ana signature yake "right there where you are" ulipo tupo!!

Labda,nadhani,nafikiria,nasoma hivyo hivyo kama wengine!!
Licha ya kupita kwa yoga huyu JAL sijawahi kumwelewa. Vunja kidogo hapo
 
Licha ya kupita kwa yoga huyu JAL sijawahi kumwelewa. Vunja kidogo hapo
JAL 123 ni code ya ndege ya kijapani iliyowahi pata ajali!

Code hii ni ufupisho wa wakubwa Fulani ambao walishastaafu lakini Bado Wana influence ya kutaka ya kwao yafanyiwe kazi kwenye mfumo!!

Yaani wanatengeneza mfumo wao ndani ya mfumo Kwa maslahi Yao ya Sasa na huko mbeleni tuendapo,yawezekana wanapanga hata uongozi ujao 2045 wa nchi!!!

Yapo majinamajina yanatajwa bila kuwa karibu na wao au bila baraka zao hupati au unapotea kimedani!!

Ni kama kimfumo Chao ndani ya mfumo na kana mimicking ya DS lakini sio DS!!

Sasa mmoja tayari ameshastaafishwa 2023 mwezi 5 kama tarehe 12 hivi,hebu go back and check!!

Bado wawili Kwa mujibu wao ambao JAL 2and 3 ,labda ni kete 4+6=10,hatujui!!

Tunabashiri coz hatuna uhakika Santa,tunasoma duru na trend kama nabii za Daniel na ufunuo was yohana na trend ya matukio ya hivi karibuni!!
 
JAL 123 ni code ya ndege ya kijapani iliyowahi pata ajali!

Code hii ni ufupisho wa wakubwa Fulani ambao walishastaafu lakini Bado Wana influence ya kutaka ya kwao yafanyiwe kazi kwenye mfumo!!

Yaani wanatengeneza mfumo wao ndani ya mfumo Kwa maslahi Yao ya Sasa na huko mbeleni tuendapo,yawezekana wanapanga hata uongozi ujao 2045 wa nchi!!!

Yapo majinamajina yanatajwa bila kuwa karibu na wao au bila baraka zao hupati au unapotea kimedani!!

Ni kama kimfumo Chao ndani ya mfumo na kana mimicking ya DS lakini sio DS!!

Sasa mmoja tayari ameshastaafishwa 2023 mwezi 5 kama tarehe 12 hivi,hebu go back and check!!

Bado wawili Kwa mujibu wao ambao JAL 2and 3 ,labda ni kete 4+6=10,hatujui!!

Tunabashiri coz hatuna uhakika Santa,tunasoma duru na trend kama nabii za Daniel na ufunuo was yohana na trend ya matukio ya hivi karibuni!!
Shukran sana. Wastaafishwe tu. Kuna mmoja niliona namna ya ukaaji wake bungeni juzi anakaa kama mtu anae ugulia maumivu sana ndani ya mwili wake. Rudi kwenye utambulisho alio ufanya samia bungeni juzi uone namna mzee alivyo simama na kukaa kwa kujivuta mno
 
Shukran sana. Wastaafishwe tu. Kuna mmoja niliona namna ya ukaaji wake bungeni juzi anakaa kama mtu anae ugulia maumivu sana ndani ya mwili wake. Rudi kwenye utambulisho alio ufanya samia bungeni juzi uone namna mzee alivyo simama na kukaa kwa kujivuta mno
Tatizo la Wana wa ulimwengu Wana hekima sana kuliko Wana wa nuruni!!

Ndugu zangu Hawa wenye. Taraja la akhera kama hitimisho kuu la hatma yao wanauelewa ulimwengu sana ndio maana wengi wanaishi urefu sana wa umri!!wanameza hazina hao,Hadi waitapike ndio roho huiacha mwili!!bila kuitapika ataugua tu lakini haendi huko!!

Sio sawa na hao wanaotarajia anti -gravity yaani kupaa juu kumlaki Bwana wa majeshi ambao wao hawajui chochote zaidi ya kumtegemea Bwana wao!!!ndio maana Hawa wasiposimama SAWA saw Kwa jina la Bwana wao wai kiroho ni rahisi sana ku be fixed hatma zao kirahisi sana na kuzikwa mapema hata kama Bado tunawahitaji!!

Najaribu aiseh!
 
Wakuu

1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.
2. Utasimamia kufutwa kwa sheria ya kutoshtakiwa isipokuwa kwa mkuu kwa maamuzi aliyofanya akiwa madarakani ikiwa sio ya kijinai.
3. Hakutakuwa tena na mafao ya kudumu kwa viongozi wastaafu wala wenzi wao. Kila mmoja achangie kwenye mifuko ya pensheni.
4. Idadi ya wabunge iwe sawa na idadi ya halmashauri na mbunge lazima awe na masters degree.
5. Madiwani wawe idadi sawa na idadi ya kata na lazima diwani aanzie digrii moja na kuendelea. Madiwani wawe na mishahara rasmi.
6. Bunge liwe taasisi huru kama muhimili na utaratibu wa kujiendesha uwe nje ya usimamizi wa executive. Bunge liwe na mamlaka binafsi kwenye utendaji wake wa kazi.
7. Hapatakuwa tena na wakuu wa mikoa, ras, wakuu wa wilaya na das. Halmashauri ziongozwe na wakurugenzi kitaalamu na lazima wawe na masters na wapate kazi kwa kuomba na kufanyiwa usaili.
8. Posho zote zifutwe mara moja maana ndio chanzo cha matumizi holela na yasiyokuwa na tija katika taifa. Mishahara iboreshwe.
9. Kila mfanyakazi wa serikali ajitegemee kwa usafiri kama ilivyo kwa sekta binafsi isipokuwa kwa safari za kikazi hivyo magari yanayotumiwa kuwachukua na kuwapeleka watu majumbani yaondolewe.
10. Mgombea ubunge/udiwani/urais na mtu yeyote anayemsapoti asichangie kwenye kampeni zaidi ya kiwango fulani kitakachopendekezwa. Wagombea wapate support kutoka kwa raia kama kweli wanakubalika.
11. Wawajibishwe wote waliohusika na mashambulizi na mauaji ya watu mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni.
12. Fedha zilizokuwa zinatumika kulipa wakuu wa mikoa/wilaya, ras/das pamoja na ofisi zao zielekezwe kwenye kilimo na viwanda ili kuajiri vijana na kukuza uchumi.
13. Katiba ya Warioba ifanyiwe marekebisho kidogo sawa na andiko hili na ipitishwe kuwa rasmi kwa kura ya maoni.
14. Tume huru ya uchaguzi iundwe itakayojiendesha nje ya mfumo wa siasa. Mwenyekiti apatikane kwa kuomba nafasi, kufanyiwa usaili na kuthibitishwa na bunge.
15. Mtu asikamatwe wala kufunguliwa mashtaka kabla ushahidi haujakamilika isipokuwa kwa makosa ya jinai kama mauaji, ujambazi, ubakaji nk
16. Wizara ziwe fixed kwa idadi na taasisi zipelekwe huko kama idara ili kuondoa msururu wa tozo wanazolipishwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa kigezo cha uwepo wa vibali vya mamlaka mbalimbali.
17. Kodi zifahamike kwa uwazi na kuondoa malipo mengine yote ya halmashauri. Boresha mazingira ya kufanya biashara kuvutia uwekezaji zaidi.
18. Jenga kiwanda chetu cha gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani maana soko ni la uhakika likiwemo lile la nje
19. Jeshi la polisi lifutwe na kuundwe usalama wa raia kama taasisi itakayolinda raia na mali zao na uongozi wake upatikane kwa uteuzi wa baraza la usalama la taifa na kuthibitishwa na bunge.
20. Pasiwepo na wizara chini ya rais bali ofisi yake isimamie wizara zote na halmashauri zisimamiwe na wizara.
21. Makamu wa rais afanye kazi ya kusimamia shughuli za kila siku za serikali, ofisi ya waziri mkuu ifutwe.
22. Rais akishindwa kuendelea na majukumu yake kwa kifo, kujiuzulu au tatizo la kiafya, bunge litapiga kura kumchagua raisi atakayetoka miongoni mwa wabunge watakaoomba. Makamu wa rais aruhusiwe kuomba.
23. Mahakama ijiendeshe kwa kujitegemea na uongozi wake upatikane kwa kuomba nafasi, usaili na kuthibitishwa na bunge.
24. Usalama wa taifa iwe taasisi inayojiendesha kwa weledi na kujitegemea na uongozi wake upatikane kwa mtu kupendekezwa na baraza la usalama na kuthibitishwa na bunge.
25. Hapatakuwa tena na uteuzi wa nafasi yoyote utakaofanywa na serikali kwa wakuu wa taasisi na mashirika ya uma zikiwemo bodi. Watu waombe, wafanyiwe usaili na kuthibitishwa na bunge.
26. Asiwepo mtu yeyote atakayezuia uhuru wa maoni kwa namna yoyote ile isipokuwa kwa mtu anayetukana. Maoni mengine yote yawe huru kwa kila mtu.
27. Serikali ipime ardhi yote ya nchi na kuhakikisha hati zinatolewa. Aidha kuwepo na standard za ukubwa wa ardhi unaotolewa inayoruhusiwa kupata hati.
28. Kusiwepo tena na mauzo ya mazao ghafi kwenda nje ya nchi na wageni wasiruhusiwe kwenda kwa wakulima bali kuwe na masoko ya kimataifa maeneo ya mipakani.
29. Serikali ifute mara moja utaratibu wa mabenki na taasisi nyingine za kifedha kuwakopesha wananchi mikopo binafsi inayolipwa kwa mishahara. Benki zikopeshe biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi.
30. Mpango wa makazi rasmi uanze mara moja ili kuondoa uholela wa makazi unaoendelea nchi nzima ambapo watu wanajenga baada ya kuuziana vipande vya ardhi.

Utahitaji kuwa na wafanyakazi wengi kama sasa hivi au upunguze wabaki wachache wanaolipwa vizuri na kuleta tija? Hilo pia utalifanyia kazi ili ajira nyingi zitokee kwenye sekta binafsi.

Natangulia kukutakia kazi njema.
Huu unafaa kuwa utaratibu rasimi.
 
Hii naogopa.
Nafungua code kwa code kwa wale wasio elewa brother nani anapewa ujumbe.

Yohana 6:5-7
5 Yesu alipotazama aliona umati mkubwa wa watu wanamfuata. Akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ya kuwalisha watu hawa?” 6 Alisema hivi kumjaribu Filipo maana yeye mwenyewe ali jua atakalofanya.

Note
Kwenye bold Filipo ni Philip kwa kimakonde. Huyu Philip ndiyo Mpango mzima wa haya maelekezo.
Basi kama ndivyo na iwe.
 
Back
Top Bottom