Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Didn't saw them!?
Is the state inside or outside the boundaries
2. Those responsibilities of Brother, are they supposed to be fulfilled before october or after He has sat in that chair
3. If it is before october, and the election is free and fair in its true meaning ,dont you think the wind is blowing the other side? Is the state ready to give the chair to the other side.
4. If it is after october, I guess it will give him enough time to win back the trust of the citizens.
5. All in all, the country needs changes and it needs it now.
 
Mbona hatuoni dalili?
Zinaonekana,Kuna panicking Kwa chawa baada ya kijana msema sana kuingia mzigoni wamemkamata na kukamata wengine hadi abroad wamelaani!!huko ni kutafuta uhalali Ili kufikia conclusion isiyo na mashaka!!

Brother=FDR :- calm, intelligent, visionary, patriotic etc!

Ukimcheki jamaa ana fall kwenye hizo characters!!

Ndio Maana Tunadhani!!stand to be corrected by suprises!!
 
Let us keep praying and hope for the best
 
Is the state inside or outside the boundaries
2. Those responsibilities of Brother, are they supposed to be fulfilled before october or after He has sat in that chair
3. If it is before october, and the election is free and fair in its true meaning ,dont you think the wind is blowing the other side? Is the state ready to give the chair to the other side.
4. If it is after october, I guess it will give him enough time to win back the trust of the citizens.
5. All in all, the country needs changes and it needs it now.
"Uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya ipatikane,that means ule uchaguzi tuliosimamia mwaka jana ni batili Kwa muono wa the state!!!

"Muda wa kufanya reforms tunao wa kutosha"Mzee warioba

"Hatuwezi rudia makosa ya 2019 na 2020 Kwa kuingia kwenye uchaguzi Kwa katiba iliyopo na time hii hii!! Warioba!

"No reforms no election" desert mission !!

Kwa hizo duru inaonekana uchaguzi haupo hapo October,nitashangaa sana uchaguzi ukifanyika october!!

Katiba na reforms zinatkiwa zifanyike kwanza ndio tuingie Kwa uchaguzi!!

Before and after,it seems the man will sit straight into the chair ,and sit again after election to oversee those reforms before and after elections,that means two years before election,five years term one and five years term 2, equal 12 years of FDR as happened in America!

Swala la ushindi hao the state ndio huamua nani ashinde na Kwa malengo gani!!
 
Sijamuona brother kwenye vikao vya Dodoma tangu jana, this is warisome.

Nadhani ulinzi wake !!!labda anapewa madini!!unakumbuka kipindi like alipotea tukadhani anaumwa Akaibuka!!zacha akasema kabla hujapewa Huwa unapotea kwanza kwa miezi kadhaa ndio unarudi tena!!

Ngoja tuone!!
Naona hata KMK hakuwepo, nimemuona kwa wale jamaa wenye macho madogo
 
Mapendekezo yakitekelezwa kama yalivyo itakuwa habari njema sana kwa wenye mapenzi ya dhati kwa Taifa
 
Zinaonekana,Kuna panicking Kwa chawa baada ya kijana msema sana kuingia mzigoni wamemkamata na kukamata wengine hadi abroad wamelaani!!huko ni kutafuta uhalali Ili kufikia conclusion isiyo na mashaka!!

Brother=FDR :- calm, intelligent, visionary, patriotic etc!

Ukimcheki jamaa ana fall kwenye hizo characters!!

Ndio Maana Tunadhani!!stand to be corrected by suprises!!
mkuu kwa huu mkeka wa tumia akili..ni kama utavuruga maslahi yote ya born town na kundi lake na sote tulimsoma kule kwa yoga hacheki na yeyote anayetishia maslahi yake ya ulaji keki ya taifa isitoshe nae ana system ndani ya system halali na inamtii na kumfanyia kazi anajua kila kinachoendelea huko..kifupi anaogopesha kwani anaonekana yuko mbele ya muda kwa kila linalopangwa..kwani mtandao wake umejaa mapapa ya ufisadi ya kutisha walio kwenye madaraka na mfumo tofauti na hawa wazalendo kina tumia akili wanaotegemea nguvu ya rais iwabebe lakini mkuu mwenyewe hayuko upande wao watatoboa vipi kwa haya maono mema kawa taifa letu..na ule uzi wake wa mstaafu asiyetaka kustaafu anastaafishwa hadi leo miaka mitatu sasa tangu atoe ule uzi hamna hata dalili..mstaafu yupo tu anadunda kwa vicheko tele si ajabu kashawapiga punch huko kumstaafisha anawachora tu..sasa haya yaliyo kwenye huu uzi ni kinyume kabisa na falsafa zake ni hatari kwa maslahi yao kwani unakata mirija yao asali..bila kumstaafisha huyo mastermind hata huyo FDRL hayuko salama kuyatekeleza haya kwenye huu waraka watamuwinda vibaya mno sijui amehakikishiwa vipi usalama wake huyo FDR
 
ni pagumu kweli mkuu ila hii "Natangulia kukutakia kazi njema" inanipa matumaini huu mchongo umekamilika kwa 70% sijaiona hii confidence kwenye mabandiko yake ya nyuma.
 
mkuu kwa huu mkeka wa tumia akili..ni kama utavuruga maslahi yote ya born town na kundi lake na sote tulimsoma kule kwa yoga hacheki na yeyote anayetishia maslahi yake ya ulaji keki ya taifa isitoshe nae ana system ndani ya system halali na inamtii na kumfanyia kazi anajua kila kinachoendelea huko..kifupi anaogopesha kwani anaonekana yuko mbele ya muda kwa kila linalopangwa..kwani mtandao wake umejaa mapapa ya ufisadi ya kutisha walio kwenye madaraka na mfumo tofauti na hawa wazalendo kina tumia akili wanaotegemea nguvu ya rais iwabebe lakini mkuu mwenyewe hayuko upande wao watatoboa vipi kwa haya maono mema kawa taifa letu..na ule uzi wake wa mstaafu asiyetaka kustaafu anastaafishwa hadi leo miaka mitatu sasa tangu atoe ule uzi hamna hata dalili..mstaafu yupo tu anadunda kwa vicheko tele si ajabu kashawapiga punch huko kumstaafisha anawachora tu..sasa haya yaliyo kwenye huu uzi ni kinyume kabisa na falsafa zake ni hatari kwa maslahi yao kwani unakata mirija yao asali..bila kumstaafisha huyo mastermind hata huyo FDRL hayuko salama kuyatekeleza haya kwenye huu waraka watamuwinda vibaya mno sijui amehakikishiwa vipi usalama wake huyo FDR
"The state na st.peters ni taasisi tofauti,the state tangu kuanzishwa kwake imekua loyal Kwa taifa pekee japo Ipo well trained kujua capacity yake kikatiba"

"Pale st.peters Kuna wale conservative ambao huwalinda wakubwa na wanataka mambo yabaki hivi hivi,watakaushwa kimyakimya na baada ya muda hawatokuwepo"By Tumia akili.

"Kuhusu Diwani na hayati chuma wapo wanne ambao hata yeye hawajui na wapo nje ya nchi na hawaripoti kwake"de'levis!

"The onion has many layers" de'levis"

"JAL 1 is done 2 and 3 are next"kuhusu mtaafu kustafishwa tayari mmoja wawili wanafuata!!

Nimejaribu ku quote baadhi ya maandishi humu kukuonyesha the state ni taasisi kubwa kuliko st.peters ambayo ndio tumaini la kulinda wakubwa na ego zao,na ndio taasisi ambayo wakubwa was hapa wanajivunia lakini the state is beyond them,ndio maana Kuna wanne wapo nje ya nchi Wala hawaripoti Kwa mkurugenzi wao Wala kwa namba moja na hatujui wanaripoti wapi!!Kwa mujibu wa de'levis!!

Halafu delevis anaandika IPO sequence ya matukio kuhusu RIPs za wakubwa ambazo sio natural kuanzia Kwa Mzee mchonga Hadi Kwa lodilofa Hadi Kwa hayati chuma!!

Kifupi ni kwamba!ukiwa tagert ya wale jamaa huchomoi ndio maana mwandishi was Uzi huu ana signature yake "right there where you are" ulipo tupo!!

Labda,nadhani,nafikiria,nasoma hivyo hivyo kama wengine!!
 
Lo mambo mazito haya
 
Back
Top Bottom