Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Nothing
 
Kila nikiusoma huu uzi naumia sana ulinipa matumaini makubwa sana juu ya kinachoenda kufanyika nchini.

Sikutegemea kama leo hii nchi ingebagazwa na kubanangwa namna hii.

Naumia sana kuona taifa letu limekosa uelekeo kila jambo liko shagara baghala haijawahi kutokea.
 
Wishful thinking
 
Unajenga matumaini kwenye hisia binafsi za mtu kana kwamba Tanzania yote ni familia yake? Pole
 
Last seen My 22, 2025...inafiikiliaha sana

Nikikumbuka, Frederick eagle, Vladimir lenin, kuja Kwa Napoleon, Bismarck, Adolf na musolin... siasa za German and italy unifications, french and England revolutions. Siasa za America na civil war within, nk

Ukija, ardhi ya asali na maziwa, uhaini day+ mdudu wa mafua makali + enzi za 1 wafalme
Last seen My 22, 2025...inafiikiliaha sana

Nikikumbuka, Frederick eagle, Vladimir lenin, kuja Kwa Napoleon, Bismarck, Adolf na musolin... siasa za German and italy unifications, french and England revolutions. Siasa za America na civil war within, WWI, league of Nations, WWII nk

Ukija, ardhi ya asali na maziwa, uhaini day+ mdudu azibaye mapua + enzi za 1 wafalme 21:17+ ishu za muajemi +... +...... =Harufu ya Samaki Kwa Sauti kubwaa ya mtoto wa malikia

Ee Bwana uturehemu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…