Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Mimi bado nina matumaini na brother naimani alishawekwa sawa na namjua , japo tangu mda nilijua ni nani ila sasa yu dhahiri na ndio anaenda kutokomboa japo jasho litamtoka
 
Mimi ninasubiri tu ninamna gani Nchimbi atapewa madaraka.
Nafikiri hii code ni yule Mzee Mpango, kuhusu Nchimbi sio sahihi maana October 29 uchaguzi haukufanyika.

Pia rejea Uzi wake aliyezungumzia code ya kustaafu lakini hutastaafu. Mpango alitangaza kustaafu siasa lakini tumeona ameteuliwa tena kurudi Ikulu kama mshauri ila binafsi naona kama ni progressing plan.

Rejea pia uzi wake wa rais ambaye hakuchaguliwa anaweza kutokea Tanzania. Mpango alipata umakamu kwa kuteuliwa kutoka kuwa mbunge na hajawahi kupiga kampeni za kuomba urais ila endapo mataifa ya nje yatakaza uzi bhasi itabidi serikali ya Samia na Nchimbi ipigwe chini na hapa ndio nahisi Mpango ndio atapewa majukumu aliyoyaandika mleta uzi.

Tuendelee kusubiri ila kwangu huu mkeka Bado unapumua kwasababu Mpango bado anaacess na viwanja vya Ikulu.
 
Huu mkeka ulishachanika vibaya sana. Huyu mwandishi yuko kundi pendwa ni kama walikuwa wanatulaghai tu watanzania tuingie kingi then mipango yao iendelee kama kawaida
 
No. Plan zilikufa polepole alipo potezwa. Ila script ilikuwa inaenda vyema sema watoto wa mjini waliwazidi nguvu wenzao kwa kuanza na kupitisha mgombea KINGUVU baadae zikabaki kelele za polepole akimsihi samia asie delee na mchakato ili huyo BROH akalie kiti ngoma ikashindikana
 
Sidhani, ngoja tujipe muda mkuu.

As long as CHADEMA wakikaza Uzi bhasi tutarudi hapa hapa. Na endapo wataendelea hivihivi bhasi tunaenda kuipoteza/kuiharibu nchi.

Endapo watakaza shingo bhasi Tanzania haitakuja kuwa na uchaguzi tena, mambo ya October 29 sioni kama yameisha, watu wamejaza mambo yao mioyoni pia CCM haikubaliki sana kwasababu ya hii Generation mpya Yaani kizazi Cha 1990 - 2004, Hawa ndio wapiga kura wakubwa hapo 2030 Sasa niambie CCM itawashawishi kitu gani hawa?

Kama nchi naona hili ndilo lilikua solution sahihi japokuwa wamechelewa ilifaa wafanye haya kabla ya uchaguzi wa 2025, kinachosumbua sahivi ni yale maafa waliyoyatengeneza October.

Pia kwa hii migongano inayosikika mitandaoni ya namba 1 na namba 2 kama ni kweli bhasi tutegemee watu kubwaga manyanga na bunge kuvunjwa, na hili linawezekana vizuri kabisa maana hapa haitaonekana kwamba CHADEMA imeshinda na CCM umeshindwa bali itaonekana nchi ya Tanzania imechukua muelekeo mpya. Huo utakuwa ni ushindi wa nchi na sio chama chochote.

Kuna member mmoja sikumbuki username yake aliandika Uzi kuhusu KARATASI NYEUPE, kila nikiunganisha dot naona tunatokea hapa hapa.
 
Natamani sana mabadiliko yatokee ila Ccm limekuwa kama zimwi halitegemei tena kura za kwenye ballot box bali time ya uchaguzi na wakurugenzi ndo wanakuwa wapishi wakubwa wa data na kuwabebesha walimu na polisi kulinda uhalifu wa kura
 
Sidhani kitu kama hicho mkuu,

Hata kama Polepole alikua ni mmoja wao ila sidhani kama script ndio imeishia hapo, binafsi naamini karata bado zinachezwa, Polepole kama alikua ni sehemu ya script bhasi yeye aliwekwa front kupima upepo na kuwazindua watanzania kutoka usingizini.

Polepole hajawahi kuzungumza chochote kilichokuwa kinachochea mabadiliko, Polepole aliongea mambo yaleyale tuu kama ya akina Mange ila Polepole aliaminika kwasababu nayeye alishawahi kukaa jikoni lakini sikuona kete yoyote ya kuchochea mabadiliko, Polepole alikua bado ni pro-ccm. Yaani mara zote aliongea against CCM mtandao lakini sio kuhusu future ya Tanzania.

Leo hii tayari tumeshaingia shimoni, this is not about CCM mtandao, CCM wakereketwa au ufisadi unaofanyika nchini, sahivi tunapaswa kuzungumzia future ya nchi yetu. Tukicheza vibaya hapa tutajikuta tunapigana vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Binafsi Kuna mambo nayaona katika pande mbili.

1. Kuna watu wameshakubali kwamba hili pambano wanaelekea kupoteza kwahiyo karata Yao kubwa ni kwamba wanataka tupoteze wote. Hawa ndio wale mafisadi na wafia madaraka.

2. Wenye Nia njema na hii nchi wanacheza karata zao kwa hekima nyingi sana. Kama ni draft bhasi wanataka kumfunga mtu super kwasababu njia waliyoitumia hapo kabla haikuleta matokeo positive hivyo wanataka kujisafisha na zigo la mavi aangushiwe alielazimisha uchaguzi.
Nafikiri karata yao ya kwanza hawakutarajia ile reaction waliyoipata kutoka kundi namba Moja.
 
Natamani sana mabadiliko yatokee ila Ccm limekuwa kama zimwi halitegemei tena kura za kwenye ballot box bali time ya uchaguzi na wakurugenzi ndo wanakuwa wapishi wakubwa wa data na kuwabebesha walimu na polisi kulinda uhalifu wa kura
Sahihi mkuu, lakini sahivi mambo sio kama zamani tena.

Tume ya uchaguzi Hadi leo haijaweka matokeo ya uchaguzi mtandaoni, nafikiri kuna jambo Bado linaendelea chini kwa chini.

Lakini muda ni mwalimu mzuri ngoja tuendelee kujipa muda, kwa hali inavyoendelea lazima tuu watatema bungo.
 
Sidhani, ngoja tujipe muda mkuu.

As long as CHADEMA wakikaza Uzi bhasi tutarudi hapa hapa. Na endapo wataendelea hivihivi bhasi tunaenda kuipoteza/kuiharibu nchi.

Endapo watakaza shingo bhasi Tanzania haitakuja kuwa na uchaguzi tena, mambo ya October 29 sioni kama yameisha, watu wamejaza mambo yao mioyoni pia CCM haikubaliki sana kwasababu ya hii Generation mpya Yaani kizazi Cha 1990 - 2004, Hawa ndio wapiga kura wakubwa hapo 2030 Sasa niambie CCM itawashawishi kitu gani hawa?

Kama nchi naona hili ndilo lilikua solution sahihi japokuwa wamechelewa ilifaa wafanye haya kabla ya uchaguzi wa 2025, kinachosumbua sahivi ni yale maafa waliyoyatengeneza October.

Pia kwa hii migongano inayosikika mitandaoni ya namba 1 na namba 2 kama ni kweli bhasi tutegemee watu kubwaga manyanga na bunge kuvunjwa, na hili linawezekana vizuri kabisa maana hapa haitaonekana kwamba CHADEMA imeshinda na CCM umeshindwa bali itaonekana nchi ya Tanzania imechukua muelekeo mpya. Huo utakuwa ni ushindi wa nchi na sio chama chochote.

Kuna member mmoja sikumbuki username yake aliandika Uzi kuhusu KARATASI NYEUPE, kila nikiunganisha dot naona tunatokea hapa hapa.
Member TumainiEl
 
Nafikiri hii code ni yule Mzee Mpango, kuhusu Nchimbi sio sahihi maana October 29 uchaguzi haukufanyika.

Pia rejea Uzi wake aliyezungumzia code ya kustaafu lakini hutastaafu. Mpango alitangaza kustaafu siasa lakini tumeona ameteuliwa tena kurudi Ikulu kama mshauri ila binafsi naona kama ni progressing plan.

Rejea pia uzi wake wa rais ambaye hakuchaguliwa anaweza kutokea Tanzania. Mpango alipata umakamu kwa kuteuliwa kutoka kuwa mbunge na hajawahi kupiga kampeni za kuomba urais ila endapo mataifa ya nje yatakaza uzi bhasi itabidi serikali ya Samia na Nchimbi ipigwe chini na hapa ndio nahisi Mpango ndio atapewa majukumu aliyoyaandika mleta uzi.

Tuendelee kusubiri ila kwangu huu mkeka Bado unapumua kwasababu Mpango bado anaacess na viwanja vya Ikulu.
Ni kweli pascal mayala aliwahi kuandika kwamba "Dr.Mpango ndio mpango mzima"

Kuna kipindi comrade huyu alipotea,Kuna member aliandika Huwa wanapotea kwanza kabla ya kupewa kijiti!!

Pia mama aliwahi sema kwamba "najua wewe (akimaanisha Dr. Mpango) ndio utasimamia dira ya 2059.

Sasa hatujui hasa alimaanisha Nini!

Pia Mpango aliwahi sema ,aliporejea kwamba "sitokufa Hadi nione matendo makuu ya Bwana""

Yapo mengi sana kuhusu haya mambo!

Ngoja tuone itakavyo jiri!!
 
Hii naogopa.
Nafungua code kwa code kwa wale wasio elewa brother nani anapewa ujumbe.

Yohana 6:5-7
5 Yesu alipotazama aliona umati mkubwa wa watu wanamfuata. Akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ya kuwalisha watu hawa?” 6 Alisema hivi kumjaribu Filipo maana yeye mwenyewe ali jua atakalofanya.

Note
Kwenye bold Filipo ni Philip kwa kimakonde. Huyu Philip ndiyo Mpango mzima wa haya maelekezo.
Ndiyo!

Inaonekana Nchemba ndio atakua waziri mkuu wa mwisho,

Mpango ndio mpango mzima!
 
Back
Top Bottom