Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Ulikuwa unataka kusema Nini mkuu??
 
Hoja Nzuri Lakini zinaitaji utafiti zaidi maana Country Issue is Always big issue

Kufeli kwa hoja Yako yoyote ni anguko kubwa Kwa Nchi Kwa Sababu unaongelea Mihimili ya Nchi,

Usiongelee Mihimili ya Nchi kizembe hivi kama unaongelea maswala ya familia.

Ni Hatari Sana.
 
Hii ilikuwa Id ya pole pole, ndo mleta Uzi mwenyewe
Mkubwa sidhani kama ni I'd yake, yalio ongelewa humu yalikuwa ni malengo ya kimkakati yalizimwa na uwezekano wa haya kutimia bado ni 98%, wenye ujumbe huenda walifanya makubaliano au messengers wame inamisha vichwa (kobe)

Hili bandiko linapumzi hadi 2028-2030 october
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…