Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Sema sijaona update yoyote kutoka kwa TA mwenyewe ngoja tuwait mkuu

Na hii inanipa matumaini
1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.
Mkeka una tick kabisa,sema jamaa na miwani ya mbao haoni!!

Unafikiri hizi sarakasi na mtafutano wa viti vikuu nani kasuka mkeka huu uendelee ku tick!!?

Cha kwanza the state Huwa wana create mazingira ya hofu,kutoaminianiana,panick,lugha gongana,kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe,vifo kumalizana wenyewe,kuwachonganisha,chuki kuu Toka kwa jamii kuhusu muhusika then inakua rahisi!!

Hadi sasa nimeziona mbinu zile zile za enzi ya chuma mojawapo ni media kutumika kueneza chuki kubwa kwa mwenyekiti,kiasi kwamba hata spinning toka kwa machawa inafeli!

Hadi sasa media coverage ya kimataifa kuhusu mwenyekiti ni mbovu na hawezi safishika hata kwa dodoki,,yaani wamefanikiwa kuiua personality yake na hata watu wa karibu ambao wanhemsaidia wanajiuzulu na kujiweka kando na eye coz ya mistrust kwao!!kifupi mwenyekiti katengwa na watu wazuri na wamebaki chawa wasio na maono ambao wanampigia makelele meeengi ambayo hayana tija kiasi kwamba hawezi hata kusikia ujumbe wa busara!!

Mkeka unatimia pole pole!

Nimemuona comrade NCHEMBA nae kaaanza kuongea HAKI na UWAJIBIKAJI kwa wananchi kama makam alivyoanza na eye kaanza!!

Tunasubiri

Mawazo huru haya toka kwa mlipa Kodi Wala sio uhalisia wa yenyewe huku tukichangia uchumi wa Mbs,Sina upande zaidi ya upande wa Mungu mwenyewe alieniumba!

Kazi na utu na tuuone utu wa ilani yetu!!

Tusonge mbele
 
Mkuu mbona kama huu mkeka ulishachanika kitambo ulikuwa unamhusu Philipo Isdory Mpango?

TA mwenyewe ni kama alishadhibitiwa maana tangu kipindi autoe Uzi hajawahi kuonekana tena, alipokuwa anasema Brother usiondoke alimaanisha Mpango asijiuzuru maana hizo habari ndizo zilikuwepo kwa wingi. Sasa hivi taifa linajiendea tu kama yatima hakuna the state Wala majeshi yenye uchungu na nchi. Wahuni kwasasa ndiyo wanaoamua wamuweke nani wapi na wampoteze nani lini.

Kifupi mkeka ulishachanika kitambo sana
 
Mi akili inanisemesha TM alikuwa BM au Mzee wa vipepeo toka mbeya RIP
 

The state wakina nani acha propaganda cheap hapa unajua sheria mpya ya usalama wa Taifa 2023 iliyokuja kutekelezwa 2024 ?
 
The state wakina nani acha propaganda cheap hapa unajua sheria mpya ya usalama wa Taifa 2023 iliyokuja kutekelezwa 2024 ?
Sheria imewapa meno zaidi the state kufanya operation zao bila kuingiliwa kisheria,yaani ujasusi wa kidola usiofuata Sheria za kawaida za usalama!!

Ondoeni mawazi ya kwamba Mwenyekiti anaweza kudhibiti system nzima ya nchi kwa miaka mitano au kumi hiyo haiwezekani!

Wanaweza wakamfanya aamini hivyo kumbe Imani wanayompa ndio udhaifu wake wa wao kufanya yao!!

Tulitendee haki jukwaa
 
Huwa anapotea karibu mwaka mzima ndio anaandika tena!

Angalia pengo la muda kati ya nyuzi tatu hizi;-

1.kitabu kilichaonza kuandikwa Kisha kikaachwa kitatimia kwa hesabu hii.
2.usaliti wa jemedari wa marekani!

3. Na huu wa brother,angalia time frame ya nyuzi zote halafu uje ufananishe tangu tarehe 22 mei mwaka Jana hadi leo Kuna tofauti gani!!?

Kumbuka kwa sasa wanafanyia kazi "original plan"

Kuingiza "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku"

Hadi sasa makam kajiuzulu aliepo hakugombea na mama!!

Kama uchaguzi mkuu wa mwaka Jana haukuwepo maana yake Mpango ndio atakua Makam Ambae hakugombea na mama 2020!maana yake yeye ndio atakua makam Hadi leo coz uchaguzi ule ulikua na dosari zile!!

Makam yeyote kati ya hao wawili anaweza kutimiza andiko wote ni wateuliwa na hawakugombea urais!

Ngoja tuone!mkeka upon hai!kujiuzulu Kwa comrade nchimbi unationyesha mkeka upon hai kabisa!!
 
Ahsante sana kwa maelezo mazuri na yenye kujitosheleza. Kimsingi ni kama Kuna ukweli fulani japo najiuliza na nataka nikutafakarishe pia huoni kama DN ni mweupesna kuichukua urais na kuliweza jukumu kubwa na zito lililopo mbele yetu kama taifa ukizingatia mifumo karibia yote kwasasa ni kama imeharibika kwa kiwango kubwa?

Ni kweli pia kwamba ukiliangalia taifa linahitaji mifumo mipya katika mihimili yote ya serikali maana kila mihimili umeonyesha udhaifu mkubwa sana si Utawala, Bunge wala Mahakama hakuna chenye unafuu kwa tulipofikia nadhani ni lazima haya mambo yawekwe sawa.

Natamani sana kama Mpango ndo angesimamia hayo mabadiliko au hata Nchimbi kuliko huyu wa sasa
 
Bahati mbaya wamemla kichwa braza kabla hajayafanya haya
 
RESILIENT KATO habari vipi mkuu. Kuna kitu sikielewi juu ya member mwenzetu bwana Britanicca mbona anaonekana lakini hakomenti wala kuanzisha uzi na sikawaida yake kulikoni
 
One man show ndio ushamba wa uongozi wa kiafrika!!
Jpm alipiga kazi mwenyewe yaani uwezo wa mtu mmoja badala system iliyotengenezwa kama malengo ya kitaifa !!

Urais sio vile watu wnafikiri ziara za kushtukiza,tumbua,teua tupa kule n.k

Urais ni kifuata matakwa ya system ya kitaifa na sio mihemko ya matamko mbele ya camera kama tulivyoaminishwa!!

Iwe Mimi,ndejembi,wewe kama unaweza kifuata mstari salama uliochorwa wa kijasusi kiuchumi n.k hakuna haja ya futuhi camera nankujimwambafai vile kama tunavyodhani plus hotuba za kufoka foka!!

Tuliaminishwa vibaya ndio maana watu wanaondoka na kustaafu wanaacha matatizo yale yale ya miaka yote coz tulitegemea futuhi one man show plus media coverage badala ya ukimya wenye vitendo!!

Kuwafunga wabadhirifu hakuhitaji rais mbele ya kamera bali wanajikuts wapo mahakamani na tuhuma za kujibu plus sero kimya kimya Rais anabaki akiwa zoom tu behind the corridors of power!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…