Brother huna shida ya nguvu za kiume. Acha punyeto pamoja na kuanglia Picha na Video za ngono

Watu wengi wenye matatizo ya umengenyaji kwenye mfumo wa chakula na watu wenye kukosa kupata choo Kwa muda mrefu hata siku SITA na wakipata choo kinakuwa kidogo Wanakuwa na tatizo la nguvu za kiume.
Mfano mzuri mtu akiwa kwenye haja kubwa na uume usisimame basi Kuna tatizo la nguvu za kiume hapo.
 
Sa mwanaume unakuwa addicted na nyeto kwanini??akati kuna pisi za kushato tu kitaa..acheni uoga wazee
 
Pornstars wengi huwa wanatumia viagra lkn,usnambie hujui?
 
Kuna mpumbavu mmoja ananiambiaga punyeto inafanya misuli ilegee wakati K yake Ni ndogo Sana naingiza kwa shida naumia ila mkono Ni Kama adjustable najipimia tu
 
Hamu inatesa bana nilikuwa nishasahau

Nakumbuka tar 31dec ya last year nilipiga show moja na demu

Nikakaa siku kumi bila kupiga nyeto ,aloo niliteseka Sana nikaona kumbe Ni sawa yule demu kunisumbua kutaka ngono na mm nikishajichua nampotezea maana meeting yetu ya ngono Ina cost pesa nyingi

Siku ya 11 nikajichua bao tatu
 
Haha nomaan iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…