Ni mwaka 1 umepita tangia niporwe demu na brother yangu,Nilipokuwa kidato cha 3 nilibahatika kuwa na demu na nlipanganae nitamuoa wala cntamchezea nikaona bora nikamtambulishe kwa bro,bro alinisifu sana kwamba najua kuchagua wazuri,baada ya miezi 3 bro alinihamisha shule Mosh akidai huko wanafundisha vizuri,nilisoma moshi mpaka mwezi wa 12 kurudi demu wangu anamimba nauliza ananijibu anampango wakufunga ndoa na kaka angu!Ahhhh nikamwendea bro aliniambia ukiendelea kumlilia huyo mwanamke unakosa vyote yaan shule pamoja na huyo demu,
wapendwa naomben ushaur hapa nimetendewa haki?(HUYO BRO NIMESHEANAE FATHER TU KILA MTU ANA MAMA AKE)