Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu.
Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa kwetu.
Jana usiku wife kapandwa hasira anataka kurudi kwao baada ya kuona sms TATU zinaingia kwa mpigo kucheki kumbe zinatoka kwenu!!!
Wazee mnataka kuuua na Ndoa yangu???? Huu ndiyo UTU??? Mnataka Mama Amina aniache??? Mashamba Makubwa Nalima nitakuwa mgeni wa nani mimi???
Acheni hizi mambo, mnajua kabisa sisi raia ndiyo wazelendo zaidi wa nchi hii kuliko mtu yoyote mnayempost kwenye page zenu.
Kuweni na ADABU, msirudie