Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Muda wa maigizo umeshapita nahisi ilichokifanya mwezi wa 11 mwaka jana kilawapa jeuri sana, yaani mnawaondoa wagombea wa upinzani na kuiba kura wazi wazi (ushahidi upo humu humu Mods msifute uzi).
Ule ujinga hautojirudia, na hii ni milele, chaguzi za hii nchi zitaheshimiwa na hazitokuwa teuzi tena.
Nimemaliza.
Ule ujinga hautojirudia, na hii ni milele, chaguzi za hii nchi zitaheshimiwa na hazitokuwa teuzi tena.
Nimemaliza.