Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo BRT wasiione hivyo leo, ni mipango iliyopangwa muda mferu na kufanyiwa feasibility study miaka zaidi ya 15 iliyopita. Wasione vya elea, sisi hatuja kurupuka, Tz ni nchi makini sana ndiyo maana ina sumbuliwa sumbuliwa na wakubwa.Mfupa ambao manyang'au yanahaha kuutafuna, Bongo tuna umung'unya tu. Phase 2 imesha anza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipokuwa Kenya nilijifunza/ kusikia neno cartel, wanaliongelea sana, huko kila kitu ni hao cartel ndo huamua, wako juu ya Serikali, kuanzia ugali wanaokula hadi daladala, hivyo hawawezi kuruhusu mwendokasi kwa sababu hao cartel watapoteza!
Zitapita wapi!!??? milango hipo kulia, je abiria watashukia katikati ya barabara!!?? Vp tickect, au kutakua na utingo humo ndani!!?? Nina uliza kwa nia njema kabisa, unless mmeagiza then ndiyo muanze ujenzi wa mfumo.
sawa na ahsante kwa swali, ila mfumo wa barabara Kenya ni kwamba magari yanaendeshwa kw upande w kushoto, hivyo milango ya abiria pia ipo kushoto. tazama vizuri picha. zitapita barabarani tu, dubai hamna dedicated brt line/barabara au hata vituo via brt lakini mfumo unafanya kazi vizuri.Zitapita wapi!!??? milango hipo kulia, je abiria watashukia katikati ya barabara!!?? Vp tickect, au kutakua na utingo humo ndani!!?? Nina uliza kwa nia njema kabisa, unless mmeagiza then ndiyo muanze ujenzi wa mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitapita wapi!!??? milango hipo kulia, je abiria watashukia katikati ya barabara!!?? Vp tickect, au kutakua na utingo humo ndani!!?? Nina uliza kwa nia njema kabisa, unless mmeagiza then ndiyo muanze ujenzi wa mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay.. kwa hiyo ile picha mnaikana ambayo inaonyesha ndani ya CBD yenu kuna mifumo ya BRT jinsi itakavyo kuwa baada ya ujenzi kuisha.sawa na ahsante kwa swali, ila mfumo wa barabara Kenya ni kwamba magari yanaendeshwa kw upande w kushoto, hivyo milango ya abiria pia ipo kushoto. tazama vizuri picha. zitapita barabarani tu, dubai hamna dedicated brt line/barabara au hata vituo via brt lakini mfumo unafanya kazi vizuri.
Okay.. kwa hiyo ile picha mnaikana ambayo inaonyesha ndani ya CBD yenu kuna mifumo ya BRT jinsi itakavyo kuwa baada ya ujenzi kuisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na walio plan hiyo BRT yenu ndiyo vilaza, hivi mnajua maana ya Rapid! Buses zinapita kwenye lane ambayo magari mengine yanapita then mnasema ni BRT. Hiyo ni BT siyo BRT, mnachokifanya sasa hivi Dar kili fanyika in 1999 kwa kuondoa vi hiace na kuweka coasters ila nyie mnaondoa Isuzu zenye mahewa na graffiti na kuleta buses from S.A, simple as that. Time spent on road itakuwa the same, nothing rapid! Kenya mnakurupuka sanaunajua ku deal na kilaza kama wewe ni ngumu sana aisee. sasa unataka tujadili 'artistic impression'?