Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Rejelea komenti yako ambapo ulizungumzia ukabila. Lazima ulete maswala ya ukabila ama mapungufu mengine yanayoathiri wakenya kwenye midahalo? Jifunze kujadili kistaarabuwapi nimekutukana????
onyesha nilipokutukana
Kati yangu nawe, nani kanukuu mwingine kwanza?napinga Ku qoute comment yangu kisha kuandika uharooo wa kwenu
Kuwapita katika nini tena wakati parameters zote za maendeleo Tanzania ipo mbele tena sana? Wewe unadhani maendeleo ya nchi yanapimwa kwa GDP pekee, that is stupidity of highest degree.That's why Tz will never surpass Ke economically, as you deal in agriculture alone Kenya is deal with both agric and manufacturing.
Utasemaje una maendeleo wakati bado unapokea chakula cha msaada?Maybe maendeleo ya mdomo tu
mkuu hata mimi kuassemble gari naweza sasa wao sijui wanachoona kipya nini apo ishu ni kumade wakenya embu acheni ushamba na ulimbukeniWakenya hawajua tofuti kati ya kujenga bodi la gari na kutengeneza Gari!!
Tuusan siku idi uko na wivu wa kike,umadhani Toyota,foton ziliaza na Sura nzuri?nop walienda wakiadvance ndio iso unaona Sura nzuri ya leo....ambieni magufuli aache usanii wa viwanda vya juicy na cherahani tatu iyo ata Burundi inafanya ingieni industry za wanaume kama hii yetu.....Inaingiza billions daily we unajenga uchumi wa maneno matupu
Mwendokasi bongoooView attachment 900280
Hapa kazi tuHv ile Bombardier yetu imeandikwaje?
Hahaha! [emoji1].....ni wale wale tu?Mwendokasi bongoooView attachment 900280
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilijua tu hili li picha wakilipata WAKENYA kwenye huu uzi watalipostHa ha ha ha kazi kweli kweli....afrika itabaki kuwa Afrika....πππππ
Msalimie Tapeli mkuu HURU KENYATTA mvuta bange wa EAST AFRICAKenya will do better, than utapeli wa tanzania
They look like modified Isuzu lorries.
This is an example of a city passenger bus for a modern BRT. The Kenyan lorry doesnt have air conditioning. Its a basic lorry!!
View attachment 900446
Hizo picha zina maana gani?.The beasts/Nyangau that roam the streets of Kenyan Cities. Make us unique. This simple things make Kenya flock with tourists & investors. Because we are Original.View attachment 900454View attachment 900456View attachment 900457View attachment 900458View attachment 900459View attachment 900461View attachment 900462View attachment 900463View attachment 900465View attachment 900466View attachment 900468View attachment 900469View attachment 900470View attachment 900472View attachment 900473View attachment 900476View attachment 900478View attachment 900480View attachment 900481
Unadhani maendeleo ni kuwa na majumba marefu na malls wakati watu wabakufa kwa njaa, waliowaweka katika kundi la failed state hawajakosea, endeleeni kufuraia tall buildings, sisi huku tunazidi kujihakikishia usalama wa chakula, stupid nyang' au, hamna akili.So kuwa na chakula ndo maendeleo kulingana na wewe?? No wonder your education system is regarded as poor and inefficient.