BRT Kenya

BRT Kenya

Wapi Vituo
kenya mnavituko aisee
yaani Mmeanza na Bus kabla ya miundombinu!!
Au hapo ndio kituoni
Nta reply nkiwa objective..tulijaribu expansion y roads haikumaliza jam option n hayo mabasi yavutie watu Wapersonal waache magari Yao manyumbani..tutamia existing infrastructure
 
Sio kutoka nje tu, kama hatuna tech basi ni lazima tuagizena sio tu kuagiza ni kuagiza kilichobora!!
penda kilicho chenu...kama hamna capacity basi agizeni toka EAC...sio kwenda kupeleka hela Afrika Kusini au Japani...nchi ambazo zinawadharau
 
penda kilicho chenu...kama hamna capacity basi agizeni toka EAC...sio kwenda kupeleka hela Afrika Kusini au Japani...nchi ambazo zinawadharau
Dharau ni mtazamo tu,dharau haikuvunji mfupa wala haichani msuli, hata wao walijibiidisha ndio wakafika walipo,tena nmesema kama gari ziliagizwa Kenya sio tatizo,tatizo kwann zenu ni mbaya tu kwa muonekano?kama mmeweza kutoa buses nzuri kama zile kwa nchi nyingine
 
ndio, waliweka bidii ndio maana wanaexport mabasi zinaenda nchi kama tz...basi nanyi mnawaabudu badala ya kutia bidii mtengeze zenu🙄🙄kisha, basi hizo za Isuzu EA hazina shida yoyote ukizingatia quality...kama mwonekano ndio shida tu basi inamaanisha upo shallow sana kiakili...mabasi hayo ni ya kumaliza congestion...mwonekano mzuri haumalizi congestion...hivi ushawahi kuona mabasi yanayofanya kazi nchi flani za bara uropa au treni za marekani? yaani mwonekano haijalishi chochote...efficiency na quality, effect on local economy ndio mtu huwa anaangazia...not aesthetic qualities my fren...dont be shallow...na pia kwa maoni yangu basi hizi hazina mwonekano mbaya sana...zimejaribu pia...plus they are built in kenya by kenyans...thats teh most important aspect
 
Ilikua ni lazima unitusi ili ufurah it's okey
 
Ilikua ni lazima unitusi ili ufurah it's okey
hahahaha hakuna matusi pale kaka😀😀...ninaposema upo shallow maanake ni kuwa unaangazia vitu visivyo vya maana...nikama kumwoa bibi kwa sababu ya kuwa na makalio makubwa badala ya kuangazia tabia na mienendo yake😀😀...anyway, nyie nunueni japani tu...sie twajenga uchumi wetu...kazi ambayo basi hizi zitafanya hakuna tofauti yoyote na kazi ambayo BRT yenu inafanya kule Dar...tofauti ni moja tu...nyinyi mliexport kazi nchi za ngambo ila sisi kazi zimebaki kenya
 
hahahaha hakuna matusi pale kaka😀😀...ninaposema upo shallow maanake ni kuwa unaangazia vitu visivyo vya maana...nikama kumwoa bibi kwa sababu ya kuwa makalio makubwa badala ya kuangazia tabia na mienendo yake...anyway, nyie nunueni japani tu...sie twajenga uchumi wetu...kazi ambayo basi hizi zitafanya hakuna tofauti yoyote na kazi ambayo BRT yenu inafanya kule Dar...tofauti ni moja tu...mliexport kazi nchi za ngambo nasi kazi zimebaki kenya
Inaingiza billions daily we unajenga uchumi wa maneno matupu
 
Mwendokasi bongooo
download-3.jpeg
 
Hahaha Hayo mabasi mbona yanasura ya Karne ya 20 vile
Yaani Yamesha choka kabla yakufika Barabarani
Kenya huwa hawajali uzuri, unayajua matatu yao yalivyo na sura kama chai maharage za 90's hapa bongo?
 
Back
Top Bottom