BRT Kenya

BRT Kenya

Hongereni Kenyans,

Kitu ambacho Tanzanians tumekifanya kwa billion kadhaa kujenga miundombinu kumbe kuna ubunifu mwingine mzuri tu wa kununua makopo ya rangi na Kuchora mistari na maandishi kidogo tu.....!
 
Mtakuwa mnakaa tu kama kawaida au nakusimama kama TZ
Nimependa hiyo slogan pembeni mwa gari
Kuna sehemu umeona public transport ya mjini(sio kwenda mikoani/miji mingine) hamna kusimama?
 
Yeah, these one
mat.jpeg
 
Hongereni Kenyans,

Kitu ambacho Tanzanians tumekifanya kwa billion kadhaa kujenga miundombinu kumbe kuna ubunifu mwingine mzuri tu wa kununua makopo ya rangi na Kuchora mistari na maandishi kidogo tu.....!
Hahaha mikebe.com.ke
 
Back
Top Bottom