BRT project in Nairobi takes shape

Btw I had the chance to travel to Nyeri yesterday...massive construction is ongoing on that road .
 
Btw I had the chance to travel to Nyeri yesterday...massive construction is ongoing on that road .
Ni kila mahali, Kenyan media doesn't cover such., Watu wakiona gap inaongezeka wanasema tumepika GDP [emoji23][emoji23][emoji23], hadi raha., Eldoret, Mombasa, Kisumu, Lamu, North Eastern, kuna projects U/C, by end of 2022, watu watajua hawajui.
 
Kwa hiyo taarifa ya kwamba Tanzania ndio inayoongoza kuwa na projects nyingi zenye thamani kubwa "almost three times that of Kenya" iliyotolewa na "independent institutions" unazipinga?.
1)SGR, $3.B
2)Bwawa la umeme $2.9B
3)BRT $370M
4)Daraja la Kigongo - Busisi $350M
5)Daraja la Tanzanite $290M

Hii miradi mitano pekee, inazidi miradi yote inayoendelea katika nchi yenu yote, taja miradi yenye thamani ya zaidi ya $2B. Lamu port hadi sasa hakuna "Financial institution yoyote iliyokubali kutoa fedha, na serikali yenu imetoa $200M pekee.
 
Btw I had the chance to travel to Nyeri yesterday...massive construction is ongoing on that road .
They're dualing from Kenol to Isiolo. It will be the longest dualed road in the region before dualing Mombasa - Nairobi. The peak though will be after the whole stretch from Mombasa to Malaba gets dualed.
 
Ungekubali tu uzikwe na Magufuli kwenye kaburi moja, I assure you all these pain could have gone away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…