BRT project in Nairobi takes shape

Mwenzako alisema sisi tulicopy kitu magu alifanya ndio akaukizwa Magu naye alicopy wapi. Ulichofanya wewe ni kujibu swali iliyoulizwa mtu mwingine na ukakosa kumkosoa hata baada ya kuamua kujibu swale alioulizwa yeye
Huyo magu mwenyewe aliikuta ikijengwa
 
hongereni tzz...nipo tarakea nashiriki kiti moto na mbegeee!
 
Ujenzi wa ajabu huuu....poles zinasimikwa kwenye tope
 
The marquise - 21 floors.
Hughrise high end apartments of over 20 floors are now a very normal thing in Kenya.
 
BRT hii ya Kenya hata mimi naweza kuijenga peke yangu.

Hapo si unaenda Kariakoo unajumua malipu stiki. Halafu unawatia maswala wanaanza kupaka huku wamenyoosha kamba.
 
Hapo si unaenda Kariakoo unajumua malipu stiki. Halafu unawatia maswala wanaanza kupaka huku wamenyoosha kamba.
Nachukua pipa la rangi nyekundu naita masela wanapaka juu ya lami nawasimamia huku nikiwa na K Vant mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…