Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
nilikuwa nafikiria ni mimi peke yangu nimemuona. Kiukweli jamaa anajua kuna ka melody fulani unakapata akiwa anaimba na vibes fulani kutoka nigeria, Ghana na Bongo.
Amekosa Airtime ya kutosha.
Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli game ngumu.