Bruno Gomes ni zaidi ya Chama

Bruno Gomes ni zaidi ya Chama

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA

Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.

Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.

images (14).jpeg
 
Mpira Una maajabu sana yaani chama wanavyomsifia Tanganyika huko Zambia ni utopolo
Huujui mpira ndiyo maana unaandika utopolo humu.

Katika ligi yetu chanma Ni moja ya viungo bora kuwahi kutokea ktk hii miaka ya karibuni.

Anaweza kukosa namba kutokana na Kuna waliomzidi pia na Zamabia Wana wachezaji wazuri na wanaocheza ligi kubwa.

Swali, ktk ligi ya NBC chama si bora? Ni bora kulingana na ubora wa ligi yetu pia.

Swali, ligi ya Zambia Ni bora kuliko ligi ya Tz?
 
Naona sasa mmeshaona Mchezaji wenu Maufunguo hawezi kufika hata robo ya Chama. Kwa hilo ahsante.

Mnaanza kumtafutia mpinzani mwingine. Sasa ndugu, walau uwe na adabu na CCC. Yule ni mtu mwingine, hana mchezaji wa kumlinganisha kwa nafasi yake.

Bruno apewe muda. Kwa baadae sawa tutamlinganisha. Kwa muda huu bado kiukweli.
 
Maufunguo ndo Nani Tena acha kujibu kwa hisia
 
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA

hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.

kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.

View attachment 2577537

Kila mmoja ana ubora wake inategemea na mahitaji ya Kocha na game plan yke
 
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA

hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.

kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.

View attachment 2577537
gomez habari nyingine acha kumlinganisha na chama

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
ahaa mshahamia kumfananisha na wachezaji wa yanga bb baada ya kukosa wa kumfananisha naye huko kinyesini,any way namba dont lie
 
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA

Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.

Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.

View attachment 2577537
Mchezaji mpya wa Yanga huyo,msimu ujao.
 
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA

Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.

Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.

View attachment 2577537

Labda chama cha siasa
 
Back
Top Bottom