Bruno Mars vs Justin Bieber

Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa...
Justin anabebwa na rangi, alipotoka timberlake walikosa mtu wa kulazimisha wakampa dogo ila hamna kitu pale.
 
Tuhitimishe hapa kwa kusema Bruno Mars ndiye bingwa

Note: sitaki mjadala uendelee chin ya h koment yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bruno MARS sio wa dunia hii so usimfananishe na yule jamaa wa matatoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…