Bruno Mars vs Justin Bieber

Bruno Mars vs Justin Bieber

Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa...
Justin anabebwa na rangi, alipotoka timberlake walikosa mtu wa kulazimisha wakampa dogo ila hamna kitu pale.
 
Tuhitimishe hapa kwa kusema Bruno Mars ndiye bingwa

Note: sitaki mjadala uendelee chin ya h koment yangu 😂😂😂
 
Bruno MARS sio wa dunia hii so usimfananishe na yule jamaa wa matatoo.
 
Back
Top Bottom