BRYANSK: Makombora ya Ukraine yaua watu wawili katika kijiji kimoja ndani ya Urusi

BRYANSK: Makombora ya Ukraine yaua watu wawili katika kijiji kimoja ndani ya Urusi

Urusi uzuri kwenye kujibu anajibu kwerikweri,Tujiandae kusikia Zele akilialia na wapambe wake!
majibu yake yamempa nini tangu aanze uvamiz ? ni aibu taifa kubwa kama URUSI kushindwa fanikisha malengo ndan ya mwaka na sikuu kazaa , tena akifanikiwa kufika nje ya mji mkuu halaf anarudishwa mpk mpakan
 
akili zenu sijui vipi kwa hiyo hako kashambulio kamoja ndio imekuwa habari ya mjini kwenu wakati huko ukraini ardhi inasepa mdogo mdogo mpaka huko kiev itasombwa yote .....
feb 2022 Urusi wapo nje ya kyiev , april 2023 ukraine wanapiga ndan ya Urusi , bado unasubir miujiza ili uelewe ?
 
majibu yake yamempa nini tangu aanze uvamiz ? ni aibu taifa kubwa kama URUSI kushindwa fanikisha malengo ndan ya mwaka na sikuu kazaa , tena akifanikiwa kufika nje ya mji mkuu halaf anarudishwa mpk mpakan
Kwani alikwambia OP anataka aimalize ndani ya mwaka?
Hebu tuambie US kule Vietnam,Afghan alimaliza vita ndani ya muda gani?
 
Back
Top Bottom