mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Naona jina jipya linamfaa maana jana kawapwlekea moto midfield ya simba balaaHivi huyu jamaa ilikuwaje akabadili jina?
Misimu ya nyuma aliitwa Bryson Raphael Ila saivi anaitwa Sospeter Bajana Nini kipo nyuma ya huyu bwana mdogo toka Azam fc
Alivyokuja na jina jipya akawa Captain kabisaNaona jina jipya linamfaa maana jana kawapwlekea moto midfield ya simba balaa
Amekuwa reborn balaaa...nina shahuku ya kuona performance ya kwenye mchezo ujao dhidi ya mtibwa sugar....maana hushindi ligi kwa performnce dhidi ya timu kubwa tuuAlivyokuja na jina jipya akawa Captain kabisa
Kama Efua morrisnIlikuwaje mpk huko nyuma alikuwa anaitwa Bryson Raphael na sasa akaitwa Sospeter Bajana
Acheni Ngenga ila swali la msingi ndio lipo hapa
Ila na sisi ni haki yetu kujua maana ni wateja wa huduma yaoTff na mwajiliwake wa Sasa ndio wanajua Sababu.
Morrison alitoa sababu kuwa ni jina la mama yakeKama Efua morrisn
Efua ni jina la Mama yakeKama Efua morrisn
Alituma jina la mtu mfano pale stand United kocha wao billali Athuman alikuwa akifukuza vijana na kuleta wapya wanaotumia majina ya aliowafukuzaHivi huyu jamaa ilikuwaje akabadili jina?
Misimu ya nyuma aliitwa Bryson Raphael Ila saivi anaitwa Sospeter Bajana Nini kipo nyuma ya huyu bwana mdogo toka Azam fc
Alikuwa injured Ila ni mtu haswaAmekuwa reborn balaaa...nina shahuku ya kuona performance ya kwenye mchezo ujao dhidi ya mtibwa sugar....maana hushindi ligi kwa performnce dhidi ya timu kubwa tuu
Sasa vyombo vya maamuzi vipo wapi hapo si kunakesi ya kughushi?Alituma jina la mtu mfano pale stand United kocha wao billali Athuman alikuwa akifukuza vijana na kuleta wapya wanaotumia majina ya aliowafukuza
Yap kipindi wamefukuzwa kina Agrey he was a Captain sababu kocha lwandamina ana mkubari sana jamaaAlivyokuja na jina jipya akawa Captain kabisa
Iyo issue ulikuwa kubwa Hadi jamaa uyu anaitwa Bajana now akawa Haitwi national teamSasa vyombo vya maamuzi vipo wapi hapo si kunakesi ya kughushi?