Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau naomba kuuliza,shahada ya usanifu majengo inalipa?hasa kwa mazingira halisi ya kitanzania!?na pia kati ya architecture na civil engineering,ipi iko poa zaidi?asanteni!

Kwanza Architecture sio engineering,ni sanaa !
Architect ana design jengo civil engineer analitia nondo na kuhakikisha linasimama
Kipi kigumu kati ya hzo mbili ?!!!
mkuu unaijua architecture au unaongea tuu..! Tupo na watu huku chuo kila siku wanakesha studio kama machizi , hii course inahitaji uwezo wa darasani na uwezo binafsi(ubunifu) tofauti na civil , kwa maoni yangu civil ni result ya architecture coz hata hao ma architect wanasoma strength of the building kufahamu a design vp jengo lake, narudia tena civil engineering inachoizidi architecture ni wigo mpana wa kazi mfano barabara,maji,bandari,airports etc ambazo kwa upande flan architecture anahusika kwa mbali kwenye landscaping tuu .