Bsc architecture,inalipa?

Bsc architecture,inalipa?

Wakuu,achitectural engineering nisawa na architecture general?au architectural engineering ni mpaka masters?
 
Mankachara... Ingekua ni ivo kua ukisoma kozi moja wapo basi unaweza kufanya majukum ya proffesion nyingine basi arch isingekuwepo, na isingekua ni kozi ya miaka mi 5 (nchi nyingi) au 7 (nchi kama urusi).
Kuchora ka frame/kiosk ka biashara fundi masonry anaweza, hata engineer ni mbali sana.. Labda kaongelea level izo.
Pia akianza ku practice na kuona delivery systems za projects basi ataelewa majukum yake ni yapi kama engineer (civil/structural/ highway etc) na ya architect ni yapi na proffesion zingine pia majukum yao ni yapi.
 
Mfumo na muundo wa curiculum za vyuo mbalimbali ndo husababisha kuitwa majina mbali mbali..
I suppose general knowledge ni ile ile ila utofauti utakuja kupata potential labda ya engineering perspective zaid, kwingine ni more managament zaidi etc.
Kama Tanzania ndo kwanza bachelor of architecture ilikua Uclas "now ardhi" peke yake, na Mbeya walitoa diploma katika architectural draughting (purely kuchora zaid) na saiv bachelor of arch eng.
poa ardhi wame anza ku specialize kwenye general, Interior designers, landscape architects etc. kama USA unakuta options of architectural Bachelor degrees ni nyingi (interior, landscape, conservation, urban, housing etc) and more specialization.
"i stand to b corrected"
We are heading there ila bado tuko kwenye basics..
 
Mkuu go into details of things you are interest with before coming up with conclusion. Do you mean architect is much better than civil engineering? In terms of what? What frame of reference do you use? What do you think is the marketable course if you combine Coet and Ardhi University courses? Prof. Mshoro used to lough at us when majority were queing for Electrical Engineering back then

Acha kudanganya umati na english yako mbovu,umataka kuniambia course zote za coet ni bora kuliko za ardhi??hivi unajua course kama geomatics inalipa kiasi gani??unajua ma QS wanatoka ARU tu,unajua kama maland officer wote wanatoka ARU na unajua wanatengeneza how much..
 
Eti kuna mshkaji anasoma civil ananiambia hivi. mtu aliesoma civil anaweza kuafanya kazi ya mtu aliesoma arch lakini mtu aliesoma architecture hawezi kufanya kazi ya mtu wa civil. Eti wakuu hii ni kweli

Cjawahi kuckia civil engineer kapewa mradi mkubwa kudesign may be residential,na pia kuna watu wamesoma architecture but wanapiga kazi za structure mpaka unashangaa,ulizia jamaa mmoja anaitwa samadu amegraduate 2011 bachelor of architecture,huyo jamaa anapiga kazi za structure now anawakimbiza hadi hao wa civil,..watu wa architecture wanasoma ,building material,building structure,building construction,building services etc but choice ni yako kwa sababu zote ni course mzuri but ngumu nadhani ni civil sema architecture inakula more time darasani
 
U shud know
-be ready to spend more time than others during the course of study, watu wanaenda kulala we ndo kwanza idea hujapata.
-u shud b good in analytical thinking (good mathematicians are, knowing the process).
-accept tht studying arch is living it, unaweza angalia mechi ya mpira/movie na huoni mechi bali majengo.
-u'll understand kipindi cha shule ugumu ni kuchora na ukimaliza shule ugumu ni kupata iyo miradi..
-hela ya kula na kuvaa na kuhonga izo hazina shida as soon as 2nd year kama mzuri, ila zile za magari, majumba, ma investments ni 15yrs plus tena ni kama uko serious.
-wa binafsi na wasiopenda kukosolewa hupata shida sana.. Its an interactive proffesion.
-Your design/product will take alot of beating, criticism and changes as a fine tuning. And wen its built and was a poor design, u live to see ur mistake. Unlike a dr mgonjwa anakufa
-the more practical experience the more u become gud, apa tunaongelea muda wakusema mm ni architect na ni mzuri.
-U success is a chain of success.. Ukiharib kitu/ kazi moja dnt expect watu wakupe tena miradi. Maana inapatikana through recomendation (at lower levels) na pia through good records ktk level ya makampuni
-inahitaji other skills kama entrepreunership kuweza kuona opportunities, marketing kuweza kufungua soko lako, accounting kuwez ku manage pesa za msimu etc etc. wako ma architect ambao haijawalipa na hawafurahii wali ishiaga kujua kuchora tu.
-uwe tayar kuanza from the bottom.. Mishahara ya architects firms mingi kwa graduate ni 500-1m, ukizid apo labda uwe una more years huku ukiona firm inaingiza millions..bila
Uvumilivu unakimbia mwezi tu.
-practicising legally ni baada ya kua registered ambayo huchua 2 years with a firm doing exams and reports, huu mchakato wengi huishia njiani.

U wont regret, its the best time nchi bado haijajengwa opportunities kibao, utapata uwanja mpana katika construction industry..

But again
-u wnt know without being in it, tafuta firm ya architect, kaa 2-3months volunteer ata u messenger na kusaidia secretary, upime upepo, its not a field for everyone. Pia nenda pale ardhi univ/ mbeya university of science and tech ama kama una nafasi zaid nenda university of nairob au jomo kenyata kenya. onana na principal/ head of dept na mwombe ushaur, kutana na wanafunz wawili watatu,, uku utapata info ila ki analogue utapata real experience.

cejo i salute you architect.. .. umemshauri vizuri sana. both the hardships and easines.
 
Acha kudanganya umati na english yako mbovu,umataka kuniambia course zote za coet ni bora kuliko za ardhi??hivi unajua course kama geomatics inalipa kiasi gani??unajua ma QS wanatoka ARU tu,unajua kama maland officer wote wanatoka ARU na unajua wanatengeneza how much..
Wewe umesomea wapi english nzuri? Utaishia kuajiriwa na wachina baada ya masomo marefu ya kuelimika kuongea kiingereza. Halafu Nani kakudanganya kuna kozi isiyo na deal? Deal ni kwenye kichwa chako na sio aina ya masomo uliyosoma. Haya wee mwenye macho haambiwi ona.

All the best msomi wa kozi kali sana ya usanifu majengo.
 
Wewe kilaza mimi nasoma geomatics na wala sio architecture,nina uhakika course yangu inalipa kuliko ya kwako so endelea kujidanganya,..na wewe utaajiriwa na waarabu wakufanyie kitu kibaya
 
Cjawahi kuckia civil engineer kapewa mradi mkubwa kudesign may be residential,na pia kuna watu wamesoma architecture but wanapiga kazi za structure mpaka unashangaa,ulizia jamaa mmoja anaitwa samadu amegraduate 2011 bachelor of architecture,huyo jamaa anapiga kazi za structure now anawakimbiza hadi hao wa civil,..watu wa architecture wanasoma ,building material,building structure,building construction,building services etc but choice ni yako kwa sababu zote ni course mzuri but ngumu nadhani ni civil sema architecture inakula more time darasani

Asante mkuu
 
Wewe kilaza mimi nasoma geomatics na wala sio architecture,nina uhakika course yangu inalipa kuliko ya kwako so endelea kujidanganya,..na wewe utaajiriwa na waarabu wakufanyie kitu kibaya

Haaaahaaaa...unamuita mtu usiyemjua kilaza. what the world! Endelea kipanga. Baada ya yote muajiri wa kwanza mchina. Ukashindane naye kiingereza. No more comments because we speak from different levels!!!
 
Huna lolote wewe,kazi yako kuongea pumba but mimi najijua nafanya nini na hata nikiajiriwa na mchina basi salary scale yangu itakua kubwa tu,yaani wewe unajua kucritisice watu tu,huna la maana hata moja humu unaloongea,acha ujinga huo onyesha elimu yako imekusaidia vipi na sio kila post uishobokee..
 
Asante Architect E.M
Japo apate mwanga kdg. Mfumo wetu wa elimu wengi hauti expose kufanya tunayopenda, we study for exams, many get to their careers by chances not choices.
 
Nikiwa na certificate ya forestry GPA 3.5 NTA level5,.naweza kufanya diploma ya civil engineering nakama ndio chuo gani?..
 
Back
Top Bottom