Bsc architecture,inalipa?

Wakuu,achitectural engineering nisawa na architecture general?au architectural engineering ni mpaka masters?
 
Mankachara... Ingekua ni ivo kua ukisoma kozi moja wapo basi unaweza kufanya majukum ya proffesion nyingine basi arch isingekuwepo, na isingekua ni kozi ya miaka mi 5 (nchi nyingi) au 7 (nchi kama urusi).
Kuchora ka frame/kiosk ka biashara fundi masonry anaweza, hata engineer ni mbali sana.. Labda kaongelea level izo.
Pia akianza ku practice na kuona delivery systems za projects basi ataelewa majukum yake ni yapi kama engineer (civil/structural/ highway etc) na ya architect ni yapi na proffesion zingine pia majukum yao ni yapi.
 
Mfumo na muundo wa curiculum za vyuo mbalimbali ndo husababisha kuitwa majina mbali mbali..
I suppose general knowledge ni ile ile ila utofauti utakuja kupata potential labda ya engineering perspective zaid, kwingine ni more managament zaidi etc.
Kama Tanzania ndo kwanza bachelor of architecture ilikua Uclas "now ardhi" peke yake, na Mbeya walitoa diploma katika architectural draughting (purely kuchora zaid) na saiv bachelor of arch eng.
poa ardhi wame anza ku specialize kwenye general, Interior designers, landscape architects etc. kama USA unakuta options of architectural Bachelor degrees ni nyingi (interior, landscape, conservation, urban, housing etc) and more specialization.
"i stand to b corrected"
We are heading there ila bado tuko kwenye basics..
 

Acha kudanganya umati na english yako mbovu,umataka kuniambia course zote za coet ni bora kuliko za ardhi??hivi unajua course kama geomatics inalipa kiasi gani??unajua ma QS wanatoka ARU tu,unajua kama maland officer wote wanatoka ARU na unajua wanatengeneza how much..
 
Eti kuna mshkaji anasoma civil ananiambia hivi. mtu aliesoma civil anaweza kuafanya kazi ya mtu aliesoma arch lakini mtu aliesoma architecture hawezi kufanya kazi ya mtu wa civil. Eti wakuu hii ni kweli

Cjawahi kuckia civil engineer kapewa mradi mkubwa kudesign may be residential,na pia kuna watu wamesoma architecture but wanapiga kazi za structure mpaka unashangaa,ulizia jamaa mmoja anaitwa samadu amegraduate 2011 bachelor of architecture,huyo jamaa anapiga kazi za structure now anawakimbiza hadi hao wa civil,..watu wa architecture wanasoma ,building material,building structure,building construction,building services etc but choice ni yako kwa sababu zote ni course mzuri but ngumu nadhani ni civil sema architecture inakula more time darasani
 

cejo i salute you architect.. .. umemshauri vizuri sana. both the hardships and easines.
 
Wewe umesomea wapi english nzuri? Utaishia kuajiriwa na wachina baada ya masomo marefu ya kuelimika kuongea kiingereza. Halafu Nani kakudanganya kuna kozi isiyo na deal? Deal ni kwenye kichwa chako na sio aina ya masomo uliyosoma. Haya wee mwenye macho haambiwi ona.

All the best msomi wa kozi kali sana ya usanifu majengo.
 

Wewe kilaza mimi nasoma geomatics na wala sio architecture,nina uhakika course yangu inalipa kuliko ya kwako so endelea kujidanganya,..na wewe utaajiriwa na waarabu wakufanyie kitu kibaya
 

Asante mkuu
 
Wewe kilaza mimi nasoma geomatics na wala sio architecture,nina uhakika course yangu inalipa kuliko ya kwako so endelea kujidanganya,..na wewe utaajiriwa na waarabu wakufanyie kitu kibaya

Haaaahaaaa...unamuita mtu usiyemjua kilaza. what the world! Endelea kipanga. Baada ya yote muajiri wa kwanza mchina. Ukashindane naye kiingereza. No more comments because we speak from different levels!!!
 
Haaaahaaaa...unamuita mtu usiyemjua kilaza. what the world! Endelea kipanga. Baada ya yote muajiri wa kwanza mchina. Ukashindane naye kiingereza. No more comments because we speak from different levels!!!

Huna lolote wewe,kazi yako kuongea pumba but mimi najijua nafanya nini na hata nikiajiriwa na mchina basi salary scale yangu itakua kubwa tu,yaani wewe unajua kucritisice watu tu,huna la maana hata moja humu unaloongea,acha ujinga huo onyesha elimu yako imekusaidia vipi na sio kila post uishobokee..
 
Asante Architect E.M
Japo apate mwanga kdg. Mfumo wetu wa elimu wengi hauti expose kufanya tunayopenda, we study for exams, many get to their careers by chances not choices.
 
Nikiwa na certificate ya forestry GPA 3.5 NTA level5,.naweza kufanya diploma ya civil engineering nakama ndio chuo gani?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…