Bsc.BUILDING ECONOMICS & CONSTRUCTION MANAGEMENT ZNAUTOFAUT GAN NA JE? WOTE N MA QS,

Bsc.BUILDING ECONOMICS & CONSTRUCTION MANAGEMENT ZNAUTOFAUT GAN NA JE? WOTE N MA QS,

Unataka ujue kama ni QS ili uje kuiba nondo na cement
 
Je wote n quantity survey


Only bsc.be ndo quantity surveyor .......but hao construction management na building surveyor ni school mmoja zinaaingiliana...baada ya kuligundua hilo uongozi wa ardhi university wakaamua kuzifuta construction management na building survey na kuiacha BSC. BUILDING ECONOMICS real quantity surveyor proffession
 
Je wote n quantity survey

hapana.....bsc be ndo quantity surveyor

hao wengine wanaweza kuwa ma-project manager, contractor, building surveyor, consultant all about construction industry
 
hapana.....bsc be ndo quantity surveyor

hao wengine wanaweza kuwa ma-project manager, contractor, building surveyor, consultant all about construction industry

Asante sana! Mkuu kwa maelezo yk
 
Hizo Building Survey na Construction management zilianzishwa kisiasa lakini kutoka katika fani mama ambayo ni Building Economy baade ikagundulika wahitimu wa fani hizo wanatangatanga mitaani.Nilisikia mahali.
 
Hizo Building Survey na Construction management zilianzishwa kisiasa kutoka katika fani mama ambayo ni Building Economy lakini baade ikagundulika wahitimu wa fani hizo wanatangatanga mitaani.Nilisikia mahali.
 
Back
Top Bottom