Bsc. in biotechnology and Laboratory sciences

Bsc. in biotechnology and Laboratory sciences

Ruvuma

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
19
Reaction score
0
Jamani kuuliza siyo ujinga, naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua hiyo kozi hapo juu,ina husika kufanya kazi katika maeneo gani mf. kama ni viwandani n.k
 
Lab biotechnologist ni msaidizi wa doctor of veternary medicine ktk upimaji maabara!ni kozi nzuri ila kiukweli ajira zake bado sio za uhakika!mkuu snipa upo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu iyo kozi kuna watu nafanya nao Kazi wanapiga pesa usime .
 
hutaajiriwa kwenye hospitali...note it !
Labda kwa mkemia mkuu
 
Ni kozi inayodeal na teknolojia ktk viumbe hai na sayansi za maabara! Unaweza kufanya kz ktk maabara yeyote inayohusu viumbe hai, iwe ni ya kilimo, binaadam ama wanyama wengine! Market kubwa kwenye research projects.....
 
inadeal na nn??

Inadeal na upimaji wa sampuli za viumbe hai name waweza fanya kazi kwenye hospital ila kwenye miradi ya utafiti huko ndiko kuna maisha ......name viwandani nako wanafanya kazi .
 
Lab biotechnologist ni msaidizi wa doctor of veternary medicine ktk upimaji maabara!ni kozi nzuri ila kiukweli ajira zake bado sio za uhakika!mkuu snipa upo?

Nipo nahesabu tu Account zako ! Hii nadhani ni ya 7 !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom