BSc. in Chemistry vs Nursing

BSc. in Chemistry vs Nursing

Kama unachojali ni pesa na sio hadhi katika jamii na hatari za mazingira ya kazi basi nakushauri upige nursing! Certificate tu ya nursing(mwenye miaka 6 kazini)mshahara wake basic ni laki 9! Ukiona bongo michosho nenda kwa Obama ukalee wazee na mshahara wake sio kidogo(uhakika wa kazi kwa nesi mwenye digrii USA hata ukitaka leo!) Hapa bongo ni uuguzi una hadhi sawa na mgambo wa jiji hasa kama jinsia yako ni ya kiume!

Asnte mkuu nimepata maisha ni popote kaka thankx kwa ushauriii
 
Nursing. Hata ughaibuni ni rahisi kupata kazi kuliko hiyo kemia.
 
Back
Top Bottom