Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri kuhusu hiyo mambo hapo juu. Kuhusu upatikanaji wa ajira mtaani
sector ya madini Tz ndio bado inaanza,kuna reserves nyingi tu ambazo bado hawajaanza kuchimba. Serikali ina mpango wa kuanza kuchimba base metals kuanzia mwakani kwa hiyo ajira zitakuwepo tu.
Ushauri kuhusu hiyo mambo hapo juu. Kuhusu upatikanaji wa ajira mtaani
hii inahusiana sana na uchimbaji na kuprocess madini vyuma!! na kama sikosei ipo udsm, katika kozi hii utajifunza chuma kuanzia uchimbaji mpaka matumizi!! ajira mara nyingi ni serikalini na secta binafsi, migodini.... Ndahani embu pita na huku...
Mkuu hivi unafahum idadi ya graduates wa hii course kila mwaka au.?
Ni vyuo viwili tu (udsm & udom) Tz ndio vinatoa hii course kwa level ya bachelor,kwa idadi yao hawazidi 35 kwa taifa zima. Tatizo la ajira lipo dunia kote hakuna nchi iliyoweza kusolve tatizo la ajira zaidi ya kupunguza tu.Alafu washikaji wengi sasa hivi wanakimbilia DSM wakati hizi kazi sana zinafanyika nje ya miji..
Mimi sikufanya kazi bongo niliona michosho tu,kazi ngumu mshahara mdogo.Nilichofanya nilikwenda Kivu kusini kutafuta kazi kama plant operator na sio engineer,Mungu alisaidia nikapata kazi baada ya muda. Nilifanya kazi kwa muda wa miezi sita ,nikapata kazi tena kama junior engineer abroad