Bsc. In veterinary medicine

Ni ya udaktari wa mifugo..ni nzuri na inalipa..lakini pia ni miongoni mwa kozi ngumu so msuli wa maana unahtajka ndugu..kaza tu ni koz ya miaka mitano plus one year of intership..
 
aaah,jombaa hapo ndo penyewe hapo.Muziki wa kiume huo mjomba na nadhani MD aitii mguu kwa ugumu wa kusoma.Jipange kusoma utoto acha nyumbani maana kama ni anatomy,histology na physiology macro na micro,mabiochemistry hayo ndo daaah,achana na mamedicine na mapathology aisee na viumbe vyote unavyovijua ww inabidi viwe kichwani,magonjwa...nadhani 2takuwa wote ila sasa shida inakuja mazingira ya kazi
 
Unataka kuijua hiyo Faculty ukiwa na maana ya kuwajua wahadhiri wake na kozi zinazotolewa na hiyo Faculty au specifically inataka kuijua kozi ya Bsc. Veterinary Medicine (BVM)?
 
ni ya udaktari wa mifugo..ni nzuri na inalipa..lakini pia ni miongoni mwa kozi ngumu so msuli wa maana unahtajka ndugu..kaza tu ni koz ya miaka mitano plus one year of intership..
asante kwa ushauri
 
tujuzane vizuri hapo kwenye funga na fungua semi
 
dogo...karibu ukibahatik kuchaguliwa nitafute nikupe simbi.... ila uje umejiandaaa maana kuna iyo kitu inaitwa anatomy... na biochem... ni hatariii tupu so inabidi ujipange
 
unataka kuijua hiyo faculty ukiwa na maana ya kuwajua wahadhiri wake na kozi zinazotolewa na hiyo faculty au specifically inataka kuijua kozi ya bsc. Veterinary medicine (bvm)?
nahitajikujua soko la ajira na changamoto zake kiujumla
 
mkuu kasome uje kuhudumia ng'ombe wa wakwe zangu kwa ujira wa 10,000 kwa mwezi.
 
mkuu ushauri wangu hii kozi ni nzuri sana inabidi ujijengee mazingira ya kutokuajiriwa.hii ni fursa nzuri kwako kutojiajiri kama ukijipanga fresh ukiwa na akili ya kichagaa hapa umetoka mkuu
 
Inamaana hiyo anatomy unasoma ya wanyama wote?
 
BVM mnyamaa,ngumu,misuli,miaka kibao mshahara sawa na nurse mwenye degree:::fedheha:::
 
soma kwanza masuala ya ajira ni dynamic hivyo huwezi yapa nafasi kwa sasa wakati wewe unamaliza 20120.
 
yeaaah but tume base kwa bovine small ruminant porcine poultry equine and carnivore... so ni mwendo wa species difference
 
bvm mnyamaa,ngumu,misuli,miaka kibao mshahara sawa na nurse mwenye degree:::fedheha:::
duh! Umenikata maini kabisaaa ila sidhani kama mshahara inafanana hebu prove it kwa kutoa ushahidi.
 
yeaaah but tume base kwa bovine small ruminant porcine poultry equine and carnivore... so ni mwendo wa species difference

Mbona hujamwambia kua mnasoma Minyoo elfu mbili, sisimizi elf tatu, kupe mia nane, papasi mia sita na chawa elf moja?? just saying.

ajabu mwaka huu hakuna hata Engineer mmoja humu sijui vijana wamekimbilia wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…