Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Msaada jamani kwa anayeifahamu vizuri hii faculty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kwa ushaurini ya udaktari wa mifugo..ni nzuri na inalipa..lakini pia ni miongoni mwa kozi ngumu so msuli wa maana unahtajka ndugu..kaza tu ni koz ya miaka mitano plus one year of intership..
tujuzane vizuri hapo kwenye funga na fungua semiaaah,jombaa hapo ndo penyewe hapo.muziki wa kiume huo mjomba na nadhani md aitii mguu kwa ugumu wa kusoma.jipange kusoma utoto acha nyumbani maana kama ni anatomy,histology na physiology macro na micro,mabiochemistry hayo ndo daaah,achana na mamedicine na mapathology aisee na viumbe vyote unavyovijua ww inabidi viwe kichwani,magonjwa...nadhani 2takuwa wote ila sasa shida inakuja "mazingira ya kazi"
nahitajikujua soko la ajira na changamoto zake kiujumlaunataka kuijua hiyo faculty ukiwa na maana ya kuwajua wahadhiri wake na kozi zinazotolewa na hiyo faculty au specifically inataka kuijua kozi ya bsc. Veterinary medicine (bvm)?
Acha utotomkuu kasome uje kuhudumia ng'ombe wa wakwe zangu kwa ujira wa 10,000 kwa mwezi.
duh! Umenikata maini kabisaaa ila sidhani kama mshahara inafanana hebu prove it kwa kutoa ushahidi.bvm mnyamaa,ngumu,misuli,miaka kibao mshahara sawa na nurse mwenye degree:::fedheha:::
yeaaah but tume base kwa bovine small ruminant porcine poultry equine and carnivore... so ni mwendo wa species difference
Thanx mkuuyeaaah but tume base kwa bovine small ruminant porcine poultry equine and carnivore... so ni mwendo wa species difference