Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
- Thread starter
- #41
Nashkuru sana wakuu kwa ushauri.zaidi ya yote naomba tuombeane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahitajikujua soko la ajira na changamoto zake kiujumla
ajira iko njenje.... ukimalizia tu..unakabidhiw wilaya... na pia unaeza ukajiajiriii kwa kuanzisha clinic yako... pia waweza fungua duka la dawa za mifugo.... ukiachilia mbaliiii unaeza anzisha ranch yako binafsiii asikwambie mtu hapo utapiga pesa mpaka bhasiiiiiiii
acha uongo kaka.....kama hujasoma md degree ya kwanza hujagusa mgonjwa hata usome phd ya nini....kuna bvm wanafundisha human anatomy baada ya kujiendeleza au masomo mengine ila kamwe hawezi kutibu kamwe (kwa msisitizo)
leta mfano hata mmoja wa bvm anayetibu hapa tanzania au hata nje ya nchi....mfano mmoja tu ili ubishi uishe nakupa muda mpaka kesho jioni.
Hyo ni kozi ambayo ni ngumu kuliko zote Sua. Ukiwa BVM kudisco hakuna ika unaweza soma hata zaidi ya miaka 7 ndo ugraduate badala ya mitano. ukifeli hata kama uko third year wanakurudisha first year. ila ni kozi nzuri njoo ukiwa umejipanga
BVM mnyamaa,ngumu,misuli,miaka kibao mshahara sawa na nurse mwenye degree:::fedheha:::
Ukibatika kumaliza miaka yako mitano (kama mama Pereka hajakudisco) unaishia kuajiriwa Halimashauri, unapewa pikipiki, sindano na dawa za chanjo za mifugo, liquid nitrogen tank pamoja na stored semen, halafu kazi yako inakuwa ni kuzunguka vijijini kuwatomb.. ng'ombe kwa mikono in what the call Artificial Insermination. Na kila mara madiwani wanakukalia kooni.