Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mimi sitafuti ajira mkuu, nahitaji kupata uzoefu tu, ni kozi ipi katizo yenye uwanja mpanaAkuna yenye uwanja mpana, ni baati yako tu saiv ajira zimekua pasua kichwa.
Okay, ahsante sana kwa ushauri kuntu mkuuingawa sijasoma engineering but kwa uelewa wangu!
petroleum chemistry is all ambout laboratory work ya petroleum, yaani kazi zake nafikiri ni kudeal processing ya petroleum ikiwemo hata kutengeneza other products from it. yaani wewe unadeal na chemicals sana
petroleum engineering nafikiri hii inakuja baada ya chemistry, hapa labda kusafirisha, kutengeneza/constructions mitambo inayotumia hiyo kitu na managements yake
ki-jina jina hiyo petroleum chemistry naona iko more deep sana kwenye petroleum, but sijui kama kibongobongo kweli kuna makampuni yanafanya vitu hivyo
Kwanini mkuu
Aise sana hapo kweli ni kaziHzo kozi ni nzur sana ila uwanja wa ajira ni mdogo but ukibahatika kupata ajira shahara lake ni kuanzia 3.0mil gross mkuu
Usijaribu kugusa kozi hizi Petroleum engineering, petroleum chemistry na ndugu yao petroleum geology. Usijaribu mkuu narudia tena Usijaribu.
we mkuu unachekesha,Wenzako waliosoma hizo hua wako huku kitaa wanawapigisha mapindi ya Physics&Math madogo wa O'&A level.
Na niko serious boss,Hao na jamaa wa telecommunications engineering ndio shughuli zao huku mtaani.we mkuu unachekesha,
okayNa niko serious boss,Hao na jamaa wa telecommunications engineering ndio shughuli zao huku mtaani.