Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
[emoji38]PCM bana!Mtu unaweza kujua aliisoma mwaka gani kwa kumuuliza ulikuwa unampango wa kusomea nini ukifika chuomimi binafsi ni muanga wa kusoma PCM sijui hata niliisoma ningekuwa na hizi akili O level ningeunga zangu Diploma hata plumbing ningekuwa mbali sana kwa kweli
Ngoja nizipange from recent to oldest
Petroleum (2014-2018)
Telecommunication(2010-2015)
Computer scieñce(2007-2012)
Mechanical eng.
Civil eng.
Electrical
Plumbing
Niekebishe nilipokosea