[emoji38]PCM bana!Mtu unaweza kujua aliisoma mwaka gani kwa kumuuliza ulikuwa unampango wa kusomea nini ukifika chuomimi binafsi ni muanga wa kusoma PCM sijui hata niliisoma ningekuwa na hizi akili O level ningeunga zangu Diploma hata plumbing ningekuwa mbali sana kwa kweli
mkuu plumbing haijawahi kuwepo kwa level ya degree nahisi ipo ndani ya civil but naona mtu ukichagua kwa makini course za veta zipo zinalipa zaidi ya degree tena unakuwa nondo...but PCM ni comb ya kiki sana na inapoteza vichwa vingi[emoji38]PCM bana!Mtu unaweza kujua aliisoma mwaka gani kwa kumuuliza ulikuwa unampango wa kusomea nini ukifika chuo
Ngoja nizipange from recent to oldest
Petroleum (2014-2018)
Telecommunication(2010-2015)
Computer scieñce(2007-2012)
Mechanical eng.
Civil eng.
Electrical
Plumbing
Niekebishe nilipokosea
Mkuu mbona kukatishana tamaa?mimi binafsi ni muanga wa kusoma PCM sijui hata niliisoma ningekuwa na hizi akili O level ningeunga zangu Diploma hata plumbing ningekuwa mbali sana kwa kweli
Piga dip mkuu...HautajutaMkuu mbona kukatishana tamaa?
Mimi nataka Ku resit nisafishe cheti je bora kwenda diploma ama kupita a level?
Japo nna kazi ya kufanya lakini nmekumbuka shule..
Unanshauri nin
Diploma? Lakini gharama mkuu ada ..ila tunakomaa tu.Piga dip mkuu...Hautajuta
Nakushauri kama una marks za kuingia BSc in Civil Engineering basi nenda hukoMimi sitafuti ajira mkuu, nahitaji kupata uzoefu tu, ni kozi ipi katizo yenye uwanja mpana