the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndg kwa cc watt wa mackn makaratac yana matter,cdhan kama bila hz paper hata kiwanja utamiliki ndg
'As the man thinketh in his heart so is he'
Unajua nn ucpngane na ukweli aise!kiukweli kabisa maisha n kazi na kazi n makaratac ndg
Hilo swali alipaswa aulize mhitimu wa kidato cha nne na sio wewe msomi wa chuo kikuu. halafu eti unasema "au niache niende chuo kabisa" heee kwani hicho sio chuo?.
Mimi nakushauri ahirisha masomo hadi pale akili itakapo komaa kwa sababu kwa sasa unaonekana hujui unachokifanya na hata hayo masomo sidhani kama utaweza kuwamudu.