Bsc with education inafuture kwa maisha ya mtz!?

Bsc with education inafuture kwa maisha ya mtz!?

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Nasomabsc with education in open university hv hii kozi inalipa maana naisoma kwa tabu c unaelewa working and studying au nitemane nayo niingie chuon kabisa nikasomee business ndg,nichukue bba,thnx
 
future yake ni nzuri tena sana!!!! je unasomea nini maths,geog,physicsau nini??? ila je UMRIDHIA TOKA MOYONI kuisoma(education)???
 
Future haipo katika makaratasi hayo ama vyeti bali katika kichwa chako,,unaweza ukawa profes na ukaishia kufungua bar na ukajiona una mafanikio,lakini mwenye elimu ya kawaida anafungua kiwanda xo its ur mind.
Take care
 
Nachukua chemistry na biology,vp future yake n ipi,naweza kuja chukua masters ya nn maaana ctakudumu kwenye ualimu ndg
 
Ndg kwa cc watt wa mackn makaratac yana matter,cdhan kama bila hz paper hata kiwanja utamiliki ndg
 
Hilo swali alipaswa aulize mhitimu wa kidato cha nne na sio wewe msomi wa chuo kikuu. halafu eti unasema "au niache niende chuo kabisa" heee kwani hicho sio chuo?.

Mimi nakushauri ahirisha masomo hadi pale akili itakapo komaa kwa sababu kwa sasa unaonekana hujui unachokifanya na hata hayo masomo sidhani kama utaweza kuwamudu.
 
Nadhan hujawah fanya kazi na ukasoma at yhe same time na ndio maana huelew tofaut ya open na vyuo vngine,what if kazn wakichika na huduma yako ilhali bado hujamaliza chuo!!n kujipanga na kujitoa muhanga kuliko maana huku private sectors c kote kwenye ruhusa ya kwenda kusoma hata kidog,jalibu kuelewa mtu anataka kujua nn na c kuandika bora umecomment sawa
 
Back
Top Bottom