Nursing (atafuta wafadhiri atapata tu)
hivi huwa ni shi ngapMshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Ogopa Jehanam....leta proof!Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Ulikuwa hujui mkuu? Tena nesi akijumlisha na overtime ndio gepu linazidi kuwa kubwa.Ogopa Jehanam....leta proof!
Ok,,lakini kwa hali ya sasa ya shida ya ajira..ni fani ipi inaweza isimlaze njaa...kama mtoto wa kike..Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
maybe kachukua kigezo cha level ila nursing and midwifery Ina uzitoOgopa Jehanam....leta proof!
Unesi na ualimu sio kazi za kukosa ajira. Ni sera mbovu tu za serikali. Mashule na mahospitali yanajengwa kila siku na uhitaji wa hao wataalam bado ni mkubwa.Ok,,lakini kwa hali ya sasa ya shida ya ajira..ni fani ipi inaweza isimlaze njaa...kama mtoto wa kike..
kwa upande wangu nursing and midwiferyOk,,lakini kwa hali ya sasa ya shida ya ajira..ni fani ipi inaweza isimlaze njaa...kama mtoto wa kike..
factUnesi na ualimu sio kazi za kukosa ajira. Ni sera mbovu tu za serikali. Mashule na mahospitali yanajengwa kila siku na uhitaji wa hao wataalam bado ni mkubwa.
Kama anapenda unesi aende ni fani nzuri sana kwa mtoto wa kike.
hivi huwa ni shi ngap
Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Kimsingi course zote ajira sio shida sana.Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring,
Huyu binti alimaliza CBG na division 3 ya EEC. Jamana kwa uzoefu na hali ya maisha ya sasa na kwa uzoefu wa kozi hizo husika, unaweza kumushauli asome ipi kati ya hizo. NB hiyo kozi ya bSC ataweza isoma kama akipata labda mkopo kwani uwezo wa kiuchumi kujisomesha hawezi.
Asante kwa kutoa ushauri
Asante Emaga kwa ushauri. Karo na matumizi ya nursing serikalini jmla haizidi 1.Million kwa mwaka kwa mjibu wa join instruction gharama zote hazizidi million.. offcourse leo kapata admission ya Clinical officer Sengerema College ambayo gahrama ni million 4 kwa mwaka ambayo wazazi hawawezi, so option ni labda Bsc Education kama atapata mkopo au asome nursing and mildwife ambayo ndo Gharama kwa mwaka haizidi 1 Million. Ndo maana tukauliza kati ya Bsc Education na nursing ipi bora kumtoa mtotoKimsingi course zote ajira sio shida sana.
Nimeona hapo mwishoni umesema kiuchumi wazazi hawapo vizuri.
Tambua kwamba endapo atanda Nursing & Mildwife atahitajika kulipa ada ya chuo pamoja na meals and accommodation.
Lakini Bsc Education kuna uwezekano mkubwa kupata mkopo wa HESLB kwenye ada, chakula na malazi maana walimu wa sayansi ni kipaumbele pia kwenye mkopo.
Kuhusu kipato/salary kwenye ajira ninajua mwalimu mwenye degree huaza na ngazi ya mshahara TGTSD. Fuatilia hiyo ngazi ni Tsh ngapi kwa sasa ? Diploma ya nursing sijajua maslahi yakoje kwa sasa.
Una uthibitisho !?Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.
Una uthibitisho !?
Ndugu mwalimu mwenye degree huamini kuwa nesi wa Muhimbili au Mloganzila mwenye Diploma kakuzidi kipato? Nje ya mshahara wewe unapata hela ya kusimamia mtihani, sensa na uchaguzi.Una uthibitisho !?