BSC with education vs diploma in nursing and mildwife

Unazungumuzia mshahara au marupurupu?
 
Manesi endeleeni kujidanganya
 
watu wanapenda kudanganya watu humu

mwalimu degree TGTS D - 710k
nurse diplome TGHS B - 680k

nurse ana advantage hapo za on call allowance na seminars kibao
Mwalimu wako wa hesabu ulimuelewa kweli!?
 

Afanye kile anaweza hakuna uhakika wa ajira haijalishi umesoma kitu gani?
Ni jukumu lako kumuanda kama unapesa akasome kile utakacho kuja kusimamia
Unaweza kumfungulia duka la dawa, maabara .n.k
Acha na hizo habari za kuchaguliwa mwanao au jamaa yako akasomee nini
 
Kuna primary,secondary ,Advance ,college na university nichanganulie mishahara ya hao walimu kwa kila hizo sehemu
 
Mshahara wa Nesi mwenye Diploma ni mara 2 ya mshahara wa Mwalimu mwenye Degree.

Nitajie mwanajesh aliyepata four form four anayenizidi mshahara
 
watu wanapenda kudanganya watu humu

mwalimu degree TGTS D - 710k
nurse diplome TGHS B - 680k

nurse ana advantage hapo za on call allowance na seminars kibao
Mambo ya Bongo magumu sana,Nurse Dip na Co Dip mishahara yao kwa Serikali inacheza sawa na Degree nyingi za miaka 3 kwa wale wanaoanza kazi.
Mfano Nusre huyo akichukua na Anaesthesisa course ya one year.Akikaaa tu vyema kwa Hospital zisizo na ubabaishaji nakunja kama 1M na kuendelea.
 
Ivi mwaka huu hamjasombwa kweny malori kupelekw jkt mkalipwe elfu 50 kwa mwezi makuluta
 
Nipe uthibitisho ,dip iwe juu kulko deg haitakuja tokea
 
Sasa wew uongelea Nurse wa MNH na Mloganzila.( Ambapo kupata ajira hapo chance ni ndogo.

Ongelea huku Kwenye hospitali za wilaya na vituo vya afya.
 
Okay vizuri.
Kama wazazi wanamudu hiyo gharama ya nursing ni vizuri. Nakutaka familia mmpe Uhuru na mtoto wa kuchagua nini anapenda.
NB ada ya nursing sio hiyo tu uliyosema kumbuka kuna michango ya Nacte mingi mfano nacte registration 15,000/=, mtihani wa semister 150,000/=, uniform bila kusahau gharama za chakula kila siku.
Nina uzoefu kidogo na hivyo vyuo nina mwanafunzi pia anaenda huko diploma
 
Gharama za Nursing kwa vyuo vya Serikali hazizidi 1,350,000/=, pamoja na hizo gharama kuwa ndogo km uonavyo Chakula ni kujitegemea.
 
Gharama za Nursing kwa vyuo vya Serikali hazizidi 1,350,000/=, pamoja na hizo gharama kuwa ndogo km uonavyo Chakula ni kujitegemea.
Sahihi kabisa.
Ila kwa kozi yake ya nursing gharama ni chini kidogo ukilinganisha na Clinical officer. Difference haizidi laki 2
 
Sahihi kabisa.
Ila kwa kozi yake ya nursing gharama ni chini kidogo ukilinganisha na Clinical officer. Difference haizidi laki 2
Ila kula ni kujitegemea miaka yote hiyo unayosema cheap ni tuition fee tu.
 
Unazungumzia muhimbili na mlonganzila hao Wana mishahara yao specific

Na kupata ajira huko sio rahisi

Zungumzia nesi wa namtumbo hospital analipwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…